Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
hivi hakuna doctor mwingine? huyu Lady doctor hafai alichionifanyia maporin
hahaaa alikufanyaje tena isije kuwa yale yale alomfanyia Eli79
hivi hakuna doctor mwingine? huyu Lady doctor hafai alichionifanyia maporin
hivi hakuna doctor mwingine? huyu Lady doctor hafai alichionifanyia maporin
Huwa wanasema ili uende mbinguni yakupasa ufe kwanza...sasa sijui mkuu kama upo tayari ku-RIP
hahaaa alikufanyaje tena isije kuwa yale yale alomfanyia Eli79
Naomba unisaidie nisije kutapeliwa humu ndani mwaya sitaki mwanaume wa mtuu
:faint:
Heaven on earth halaf unakumbuka uliaahid kunipeleka mbingun?
hujawahi kuona mtu yuko duniani lakini anasema amefikishwa mbingu ya 7 leo
hicho ndo anataka mwananthropolojia
hahahaa naona bado unamachungu, yupo Dr. Mwingine anaitwa shansarie ilayeye akishindwa hunikabidhi mimi
Heaven on earth umetumwa?..
Naomba nikukabidhi Ruttashobolwa.
ananitaka huyu Ruttashobolwa! hilo liko wazi kabisa!
nimepata jibu sasa kumbe Ruttashobolwa alikuwa ana lake jambo
Ruttashobolwa you good?????