Lady doctor sema tulikaguana bana kwani si kila mtu alimkagua mwenzake usiku kucha
Mbona unaniharibia siku mapema hivyo aisee
kimya kimya Lady doctorsshhhhiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
Waweza kunitambua hapo@masai gelView attachment 98621
Unajifanya kugeuza kijanja niko bamper to bamper na wewe leo maana nikikuachia uingie huku peke yako unaleta mhadhara leo sikuachii kabisa
Lady doctor alikua anakagua madaftari ya shule na mimi nikakagua ya kwake sasa hapo umeelewa Dena AmsiEtiii?? Umesema???
Hujauliza maana ya huo ujumbe sisi tunataka bidhaa za supermarket kwa njia ya panya na si lazima zikaguliwe na TRA na unaelewa Asprin anafanya kazi huko au hujaelewa wife Dena Amsi
kimya kimya Lady doctor
sshhhhiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
Lady doctor alikua anakagua madaftari ya shule na mimi nikakagua ya kwake sasa hapo umeelewa Dena Amsi
si unaona mwenyewe unataka kufichua siri, mkeo akijua itakuwaje?
Nahama mtaa kabisa naona huku nawez akula ban sasa hivi Lady doctor baadae na Dena Amsi tutakutana nyumbani
Naomba unisaidie nisije kutapeliwa humu ndani mwaya sitaki mwanaume wa mtuu
Lady doctor ndo mimi mwaya nipe mchongo
poa baadae ukija naomba tuonane kulekule kwa jana
Uje na daftari la jigrafia na sayansi kimu maana leo nina homework hiyo Lady doctor
Nahama mtaa kabisa naona huku nawez akula ban sasa hivi Lady doctor baadae na Dena Amsi tutakutana nyumbani