Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Huu uzi maalum kwa ajili ya kuchati na marafiki zako wa humu n.k ndio maana nika amua ku fungua uzi huu binafsi napenda sana ku chat so kama na wewe unapenda ku chat naku karibisha"" hapa uzi huu ni wa muda wote sio mchana wala usiku ni muda wote"kuna muda uko na mawazo au uko poa hapa kwenye uzi huu utachati na marafiki zako n.k
n.k
WOTE:MNAKARIBISHWA
n.k
WOTE:MNAKARIBISHWA