Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,290
tujitahidi kumekucha tena! Weka hoe began safari farm!.
Una nena kwa lugha mpya ama?
tujitahidi kumekucha tena! Weka hoe began safari farm!.
huku wote washawahiwa... umechelewa wapi masai gelo!!?
Alikuwa analea "ndito" huko kwao...
ndito ndio nn shemeg? unaongea misamiat
Haya wale wenye vining'inio washa...mchuchu ndio huyo kajilengesha...kazi ni kwenu!!!
Kama yeye ni mmaasai si ina maana huo umaasai kautoa kwa daddy yake...shemegi vipi tena bhana!!!
hehehehe!!! nyie ndio mnaojipaka maziwa ya ng'ombe!!!? khaaa!!! dada yangu kapata hasara.
Heaven on earth halaf unakumbuka uliaahid kunipeleka mbingun?
Huwa wanasema ili uende mbinguni yakupasa ufe kwanza...sasa sijui mkuu kama upo tayari ku-RIP
hivi hakuna doctor mwingine? huyu Lady doctor hafai alichionifanyia maporin