Natafuta couple chit chat

Natafuta couple chit chat

Hii guys.....natafuta mwenza wa humu ndani mie sio mwenyeji sana..
Mie ni binti mrembo tuu kutokea Rchuga...
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Njoo unione mwenyekiti, ukaguliwe kisha mambo mengine yaendelee
 
Mi sina mtu, kama utaridhika ntakua wako pekeyako, nko hapahapa Rchuga

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom