Natafuta binti au mchumba

Natafuta binti au mchumba

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
589
Reaction score
594
LEO ULIJUE HILI
Tofauti Sahihi (Kibiashara):


1. New Phone (Mpya Kabisa)


  • Haijawahi kutumika.
  • Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani.
  • Inakuja na warranty ya kiwandani.
  • Hii ndiyo aina ya juu zaidi na bei kubwa zaidi.

2. Refurbished (Referb)


  • Simu iliyowahi kutumika (labda ilikuwa na tatizo au imerudishwa na mteja).
  • Imefanyiwa ukarabati wa kitaalamu na kupimwa tena.
  • Inaonekana kama mpya, lakini sio mpya kabisa.
  • Mara nyingi huuzwa kwa bei ya chini, inaweza kuja kwenye box au bila.

3. Boxed Phone


  • Hii ni simu iliyowahi kutumika kidogo, halafu ikawekewa box jipya, mara nyingine inafanana kabisa na mpya.
  • Inaweza isiwe refurbished rasmi, lakini ni used phone iliyowekwa kwenye box kama mpya.
  • Haina warranty ya kiwandani, ila muuzaji anaweza kutoa ya kwake.
  • Ina muonekano wa "brand new", lakini ndani ni "slightly used".



Kwa hiyo:


  • Refurb = Used + Repaired professionally.
  • Boxed = Used (but clean) + Reboxed to look new.
  • New = Haijawahi kutumika hata sekunde moja.
 
HAYA KUMBE MNAONAGA TU MABANGO YANGU NA MNANICHORA SIO !!!😂🤣 HIBU NAOMBA MCHANGO WENU HAPO CHINI
IMG-20250428-WA0012.jpg


🏠PHONEHOMETZ 2025

🇦🇪SAMSUNG CLEAN STOCK

📌S SERIES✅ CLEAN NO DOT
-S8 64gb 290,000/=
-S9 64gb 320,000/=
-S9+ 64gb 330,000/=
-S10e 128gb 350,000/=
-S10 128gb 395,000/=
-S10+ 128gb 495,000/=
-S21 5g 128gb 520,000/=
-S21 ultra 128GB 770,000/= (edged screen )📦
-A41 64GB 250,000/=
-A21 64GB 195,000

📌QUANTITY STOCK AVAILABLE 👍




0769927039

📍INFINIX TOWER OFFICE 1
📍DUBAI PLAZA OFFICE 2
 
Back
Top Bottom