Kwanini unadhani unastahili kuoa sasa hiviSasa mzee nisipo changamka baadae simtaanza kusema mi mchicha mwiba !🧨
Kweli unacho sema ni ngumu ,napata Pesa kwa kupitia jukwaa ila ni marachache sana .Mimi sio expert sana hapa jukwaani ila sidhani kama kuweka bidhaa zako humu kunasaidia. sana sana utapata likes nyingi na motivations kadhaa ila sio pesa.
Hela za boom unataka utumie nae au una support ya wazazi rafiki? Maana siku hizi hakuna mapenzi zaidi ya pesa, yaani ukiwa napesa hata ukimwaga ndani ya dakika 2 unaambiwa unajua kupelekea moto hadi nimekojoa, yaan najifanya kabisaa nalia kwamba nimefika kilele ili upate bichwaa, watu wanajitafuta kwa kila namna rafiki, watakuja wengi ukikosa nitakusaidia kuwapata wanawaliMimi ni kijana wa kiume wa miaka 24 nipo nimepanga UBUNGO KIBO na pia nipo chuo ( ...).Nipo natafuta binti anaye jielewa .0769927039
Kaka ashapatikana na suala la Boom mimi sipokeagi boom sina hata huo mkopo 😂Hela za boom unataka utumie nae au una support ya wazazi rafiki? Maana siku hizi hakuna mapenzi zaidi ya pesa, yaani ukiwa napesa hata ukimwaga ndani ya dakika 2 unaambiwa unajua kupelekea moto hadi nimekojoa, yaan najifanya kabisaa nalia kwamba nimefika kilele ili upate bichwaa, watu wanajitafuta kwa kila namna rafiki, watakuja wengi ukikosa nitakusaidia kuwapata wanawa
Pole sana kijana mabinti siku hizi tunataka masponsorMimi ni kijana wa kiume wa miaka 24 nipo nimepanga UBUNGO KIBO na pia nipo chuo ( ...).Nipo natafuta binti anaye jielewa .0769927039
Kwa hizo pesa za chuo😁😁🙌Sawa 😂🤣 uzuri hao masponsor nitaanza kuwapea mishahara mimi itapunguzwa
Hongera kijana wewe unaonekana mtoto wa kishuaSawa , ila usikalil .Sio kila mwanachuo ni BOOM wengine hatuijui mikopo ya elimu
Soma kwanza mdogo wangu, wachumba na wapenzi utawakuta tu
Hongera kijana wewe unaonekana mtoto wa kishua eehSawa , ila usikalil .Sio kila mwanachuo ni BOOM wengine hatuijui mikopo ya elimu
Kwahiyo hukuwahi kujihusisha kabisa na mapenzi mkuuAta mimi niliambiwa hivi wakati Niko form four soma mademu utawakuta advance, nilipo fika advance Nikaambiwa soma mademu utawakuta Chuo, nilipo fika Chuo Nikaambiwa soma mademu utawakuta mtaani nilipoingia mtaani nikaambiwa tafuta hela mademu wapo, 😂badae. Mtu mmoja akasema ukifa utakutana na mabikira 72
So Muache kijana atafute mbususu
Hapana nimewagonga mno sio poaHongera kijana wewe unaonekana mtoto wa kishua eeh
Kwahiyo hukuwahi kujihusisha kabisa na mapenzi mkuu
Sasa hivi umeoa mmoja au bado unawagonga?Hapana nimewagonga mno sio poa
Sawa tajiriSiwezi chukua hongera zako ila kuwa makini .Usiwe mlopokaji
🤣Wifi yako nilimwambia nimepata kazi mgodini kumbe uongo baadae akaja kujua, mimi ni muuza scraper nakusanya vyuma nauzaSasa hivi umeoa mmoja au bado unawagonga?
Kwahiyo alikumwaga😁😁😁🤣Wifi yako nilimwambia nimepata kazi mgodini kumbe uongo baadae akaja kujua, mimi ni muuza scraper nakusanya vyuma nauza