hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,227
- 3,145
Ni genye hizo nenda kitamba katafute malaya
Dah kauchuna aseehKwahiyo alikumwaga😁😁😁
Pole sana mkuu endelea kuwagonga😁😁Dah kauchuna aseeh
Asaidike na nini wakati kashajipataNa umalaya hautomsaidia
Msalimie mchumba uliyempata JFSawa naomba asipewe ushauri
Ukituma nauli umepigwa😁😁😁Duuuuuuuh 😂 a wiiiiiiiii awaaaaaaaa eti yupo GEITA 🙌
NAOMBA MSALIMIENI NINYI .
Kabisaaaaa , nisha wahigi liliwa shida na binti moja hivi alikuwa anamtoto , nikamtoa kijijin to town .Nikamuweka kwa mabavu dukani ebwana si alituchora akaiba pesa akaondoka .Kaenda zimeisha kaanza tena kulialia eti ananipenda alifanya hivyo kwaajili ya kwenda kumtoa kaka ake jera 😂🤣🤣.Ukituma nauli umepigwa😁😁😁