aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,294
- 23,279
Nenda huko kwenye minada mkuu ila Kwa hapa Wala hauwezi kupataBoss hivi ushawahi pata nafasi ukaenda kwenye minada ya serikali ya vyombo vilivyotelekezwa na wenye vyombo?
Nenda huko kwenye minada mkuu ila Kwa hapa Wala hauwezi kupataBoss hivi ushawahi pata nafasi ukaenda kwenye minada ya serikali ya vyombo vilivyotelekezwa na wenye vyombo?
Unautafuta ukichaa kwanguvu sana... haya banaHabari
“Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo
Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni.. naomba anisaidie connection hiyo natanguliza shukran
Au mwenye bajaji ya bei hiyo ya 1.5m mpaka 2m anisaidie kijana mwenzake, mdogo wake ,mwanae
Sijali kuhusu body, mashine iwe nzuri inafanya kazi vizuri, hata wiki ndio niende garage, ukweli ni zipo bajaji nzuri kwa bei hiyo
Isiwe ya mkopo mtu akaniuzia kwa kunikomoa wenye bajaji yao waje kuichukua
Isiwe ya wizi, nitahaibika mjini hapa sina mtaji mwingine zaidi ya hii pesa niliyonayo
Mtu anaweza akawa amechoka na bajaji akaamua tu kuuza ila inaweza isiwe na tatzo lolote nitashukuru, sijali kuhusu kilometa iwe tu inafanya kazi vizuri na isiwe trip kwa fundi
Nawapenda wana jf
Shukrani sana kwa muongozo Mkuu ubarikiwe sanaNenda njia ya Msakuzi kuna sehemu wanauza bajaji za zamani. Ukiwa unatoka Goba road mkono wa kushoto, ukiwa unatoka msakuzi mkono wa kulia. Check nao hao utapata uelekeo. Wameandia bango kuubwa linasomeka kwa nje hapo"Tunauza bajaji za zamani" Kevzy
Usiishi kwa kuvizia mkuu.Boss hivi ushawahi pata nafasi ukaenda kwenye minada ya serikali ya vyombo vilivyotelekezwa na wenye vyombo?
Watu wanapata vyombo kwenye minada hiyo Mkuu, kama hauna connection endeleea kutafuta connection kama mimi MkuuUsiishi kwa kuvizia mkuu.
Ile minada siyo ya kukurupukia coz mara nyingi vyombo vilivyo ktk muonekano mzuri huwa wanapointiana wao kwa wao b4 mnada so siku ya mnada ni kama gelesha na kutimiza utaratibu.
Bila connection sahau kupata chombo iliyo nyooka kupitia minada ya polisi.
Nakushauri ujipange upya tu kudunduliza mtaji mpaka pale utakapo eneza hela iliyoshiba kidogo ikiwa hitaji lako ni kumiliki bajaj.
Shukrani MkuuOngeza milioni 2 zingene au moja na ushee utapata chuma nzima...milioni 2 Bado sana.
Kuna jamaa wanauza Bajaj ila kuanzia 3.5,4 nakuendelea unapata chombo safi.
Umekuja hapa kuomba ushauri. Tunakupa ushauri usio na mawaa kulingana na bajeti yako finyu wewe unaona kama tunakukatisha tamaa!Shukrani Mkuu
Asante kwa muongozo huo sio sawa na mtu kunikatisha tamaa kabsa Mkuu
Shukrani
Urudishe majibu hapa miye napaona tuu nikipita na gari pale. KevzyShukrani sana kwa muongozo Mkuu ubarikiwe sana
Goja nakutaftia Kesho nitakupa mrejeshoHabari
“Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo
Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni.. naomba anisaidie connection hiyo natanguliza shukran
Au mwenye bajaji ya bei hiyo ya 1.5m mpaka 2m anisaidie kijana mwenzake, mdogo wake ,mwanae
Sijali kuhusu body, mashine iwe nzuri inafanya kazi vizuri, hata wiki ndio niende garage, ukweli ni zipo bajaji nzuri kwa bei hiyo
Isiwe ya mkopo mtu akaniuzia kwa kunikomoa wenye bajaji yao waje kuichukua
Isiwe ya wizi, nitahaibika mjini hapa sina mtaji mwingine zaidi ya hii pesa niliyonayo
Mtu anaweza akawa amechoka na bajaji akaamua tu kuuza ila inaweza isiwe na tatzo lolote nitashukuru, sijali kuhusu kilometa iwe tu inafanya kazi vizuri na isiwe trip kwa fundi
Nawapenda wana jf
Mkuu mimi sikuomba ushahuri, soma vizuri kabla haujachangia mkuuUmekuja hapa kuomba ushauri. Tunakupa ushauri usio na mawaa kulingana na bajeti yako finyu wewe unaona kama tunakukatisha tamaa!
Usiwe naive mkuu na kumbuka majuto ni mjukuu.
Sisi hatutakuwepo pale utakapoanza kuteswa na hilo "scrapt bajaj"