Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 11,761
- 22,008
Nitalia sana kumpoteza mjomba wangu na nitakuwa kundi la watu wa dar kupitia mnama grupu nikigawa beer na nyama choma
Mbamizwa ndege nilikuagiza nnHiyo ni lazima.
Nikutafutie kwaya 😁.Mbamizwa ndege nilikuagiza nn
eeeh meku bila kuto kimedoma mwanamaeMeku , mpaka shuru?😄
Nipigie kibao cha wamrudisha mtu mavumbini,,Nikutafutie kwaya 😁.
Ngoja nikipiga hiyo ngoma.Nipigie kibao cha wamrudisha mtu mavumbini,,
Usemapo rudini rudini, rudini enyi wanadamu
wewe bwana umekuwa makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi
Hata nileweje!Ukilewa zima simu shauri yako utajikuta umepost upo uchi humu
Nimeshiba ba mnyang’odeHautaki kuja kwenye mchele 😄
Mnoo😋Chakula cha msiba kitamu😋