Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 368,836
- 853,277
🥺🥺🥺🥺Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
🥺🥺🥺🥺Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
Bahati nzuri,mama mkwe alishatangulia peponi 24 years ago, na hata alipokuwa hai, hatukuwahi "kuishi" ndani ya nyumba moja.Si hua unamtongoza mama mkwe wako umeshasahau?
Good morning 😂Depa kipenzi 😊
Ukilewa zima simu shauri yako utajikuta umepost upo uchi humu
Nyenyere watakufaidi Sana utakapokufa 🔥Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉
Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
Hahaha ukilewa acha na simu utaharibu mbaya
Naona unajiandaa kuvua gamba, ili baadae uvae gamba jipya (reincarnation).Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉
Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
Gamba nitalivua mapema sana bwashee, nina mambo mengi yakufanya😄Naona unajiandaa kuvua gamba, ili baadae uvae gamba jipya (reincarnation).
Endelea kufanya meditation huku ukiishi maisha safi yaliyojaa upendo ili maisha yajayo yakawe na furaha kwako.
Hiyo ni lazima.Uje kwenye mchele na mbege bwashee