AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,141
- 20,199
Tukugawie zile million huachane na hilo shangaziBaadae huyo mdada atakuja kuwa mshangazi alafu atatokew kijana mmoja mwenye haiba kama yangu ambaye atakua mpenda mashangaz
Tukugawie zile million huachane na hilo shangaziBaadae huyo mdada atakuja kuwa mshangazi alafu atatokew kijana mmoja mwenye haiba kama yangu ambaye atakua mpenda mashangaz
Au sioUnaelekea kuchanganyikiwa shauri yako
Yaan hapo ukiendelea kidogo tu tunakuokotaAu sio
Bila shaka unajisemea mwenyeweYaan hapo ukiendelea kidogo tu tunakuokota
Daaaah we jamaaWewe hauna hauna pesa jiongozee
Nani atatusafirishia mizigo toka India?Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
Kunywa bia ikuzoeeDaaaah we jamaa
Alafu wewe jau sana ujueTukugawie zile million huachane na hilo shangazi
Kuna siku tutapigana hukuKunywa bia ikuzoeeView attachment 3609479
Ndio kwanza yupo bia ya pili ila tayari mafaili yameshaanza kuhamaMkuu unavyupa vingapi kichwani?
Yaan ukiongeza chupa 1 ya mwisho ndio huamki hapo tunakuokotaBila shaka unajisemea mwenyewe
Sio jau ni hivyo tu tukupe tusikupe? Bado sijalewaAlafu wewe jau sna ujue
Tukiwa tumelewa utaweza kurusha ngumi humu wewe?Kuna siku tutapigana huku
Yaani nimejistukia hapa, nami najiuliza hapa, nikilewa nami huwa nakuwa hivi!!???
Si huwa unamtongoza mama mkwe wako, au umeshasahau?Yaani nimejistukia hapa, nami najiuliza hapa, nikilewa nami huwa nakuwa hivi!!???