"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Chaga manufetero muvument chadema

Unahangaika bure na siasa zako nyepesi kama huyo nepi,eti anataka kwa mfano tatizo letu la meya wa kuchonga hapa ilemela mwanza,tusiandamane mwza tukaandamane moshi? hivi huyo mtoto wa mwenge kumbe kichwa cha panzi? i can't belive
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Jinga Kubwa
 
naomba kuuliza, hivi ni kweli huyu ndiye Nape yule kiongozi wa ccm? kweli??
 
Naisubiri siku ambayo Nape ataandika kitu ambacho kitakuwa "sticky" hapa JF na kwa manufaa ya Tanzania, ni aibu kwa kiongozi wa ngazi yake kuandika vitu vya ajabu kama hivi..!
 
kweli akili yako inaendana na div 4 yako ni bora ukakaa kmya watu wakafikili kuna hekima dani yako kuliko kutapika mashudu watu wakajua upumbavu wako..kweli hii ni NEPI !!!!
 
chadomo kuchukua dola ya tz haitatokea wakina babu wanawadanganya wale mapesa yenu bure nchi haiwezi ongozwa na mkusanyiko wa wanaharakati

ukabila kaubeba nani kama sio nyie? maana kilichowasukuma zaidi ni kupigania haki za kabila lenu eti litwae tanzania ha ha ha mtasubiri sana
Ni upuuzi kushabikia chama kwa misingi ya dini . Akigombea mkristo mtaihama CCM?
 
hatusimamii dini sisi yeyote atakayeteuliwa na chama chetu tutamkubali hatuwezi kukubali nchi iingie mifukoni mwa watu wachache
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Nape
acha kudanganya watu bana ungekuwa unafanya mazoezi ungekuwa hivyo ama alikukuta kwenye 7 by 6
kidumu chama anyway ...Mkuu nape Ukitaka kufanikiwa kokote usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako
taja mtei ,taja silaa taja marehemu Babu yetu NNauye lakini sio

JINA LA "BWANA YESU""""FUNGUA THREAD ZOTE UANGALIE LIMETAJWA SEHEMU GANI ..WAPENDWA KATIKA WATU NINAO WAPENDA NA KUWAHUSUDU PAMOJA NA UANACHAMA WANGU WA CHADEMA NI NNAPE NAUYE...UKIACHA MENGINE ALINITIA MOYO BAADA TU YA KUFARIJIKA NA KILE CHEO KIJANA AFYA ILISIMAMA GAFLA YAANI AFYA ELEKEZI SIO KAMA WENGINE WANAOKAMATA POSITION KAMA YAKE ..ALIWEZA KUNIDIHIRIHISHIA YUKO CHAMA CHA...........

MUNGU AKUBARIKI

PLPS P...............................................
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Nape, nilipata bahati ya kumfahamu Baba yako, Ndugu Moses Nnauye. Wakati huo nilikuwa Kiongozi wa Tawi la Tanu Youth League. Sijui kama leo marehemu Moses NNauye angerudi akakuta mtoto wake anazungumzia usehemu, udini n.k. angesema nini. Naanza kukubaliana na wale wanaotilia mashaka u-Nnauye ndani ya damu yako. I'm sorry to say so.
 
dah! kama viongozi wa ccm ndo hawa basi hakuna kidumu wala kikarai Harpo! kwishne. Nape mnaguye, hujitambui wewe ni nani katika jamii? Mimi sioni wala simpati kiongozi yeyote katika ccm asiyetumia Unga.
 
Mkuu Nape, endelea kuyasubiria!.
Moshi ndio Ngome Kuu ya Chadema!, CCM hata mkikesha usiku na mchana kwa siku 360!, hamuitikisi, hivyo kwa maoni yangu, Moshi haihitaji kabisa maandamano ya Chadema!.

Hilo la uchaguzi wa ndani nalo neno!.

Kwa uzi huu, Mkuu Nape, kweli nimeamini, kuna watu wa CCM, hamlali kwa kuiwaza Chadema!, yaani Chadema inawakosesha kabisa usingizi, hadi mkikosa chochote cha kuandika, basi unaandika chochote tuu kuhusu Chadema ali muradi umeandika!.

Japo najua CCM mtashinda uchaguzi mkuu wa 2015! kwa mbinu zile zile, nilidhani huu sasa ni wakati wa kuendesha siasa za ukweli zaidi na sio ghilba kama kawaida!, CCM itaendelea kuchaguliwa kwa mazoea na sio kwa track record!, kama wewe ndio mmoja wa vinara, unakuja na uzi kama huu!, na hii mentality yako ndio mentality ya CCM as a whole!, please don't under estimates us that much!, ni vizuri, mkae mkijua, Watanzania wa leo, sio wajinga kama mnavyowadhania, hata kama CCM imekuwa madarakani kwa miaka 50 iliyopita na inataraji kuendelea kuwepo madarakani kwa miaka 50 mingine ijayo!, japo CCM has been fooling some people for sometimes, but you can't fool all the people, all the time!.

Pasco.

Umesikia habari za Tundu? kuwa ni muongo, mfitini na mzandik?
 
Ama kweli magamba ni kikundi cha mipasho kikiongozwa na mwenyekiti na katibu mwenezi nepi aka mimba ya kwenye mwenge!!!
Hv kwa pumba hizi mtajisifia mna hazina ya viongozi?
 
Nape,do u know wat a Nutty is? . Kuna swali nilikuuliza, narudia tena leo, na km hautajb, itabidi nimpe taarifa boss wako, '' Ivi hiyo nafasi na ofisi unayohudumu uliiapata kwa uwezo, au kwa mbinu ?
 
Nape, nilipata bahati ya kumfahamu Baba yako, Ndugu Moses Nnauye. Wakati huo nilikuwa Kiongozi wa Tawi la Tanu Youth League. Sijui kama leo marehemu Moses NNauye angerudi akakuta mtoto wake anazungumzia usehemu, udini n.k. angesema nini. Naanza kukubaliana na wale wanaotilia mashaka u-Nnauye ndani ya damu yako. I'm sorry to say so.

babu shikamoo huyu bwana mdogo anaitwa nape jitu pateli ....
 
Yaani nape una akili za kitoto sana, hiyo ndio hoja ya kiongozi wa juu wa chama? Basi ccm ni mizoga tu kama na mjinga kama wewe umepata uongozi wa juu.
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Nape Nnauye. Kila alitajaye jina la Bwana na aache uovu. Endelea na shughuli zako za propaganda. Acha kumdhihaki Bwana Yesu. Unajua kwa dhahiri unasema uongo. Kwa nini kumhusisha Bwana Yesu. Nape, its high time you grew up.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom