"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Hata mimi I had very high hopes na kijana huyu by then, not now!.

Ila pia kwa sisi baadhi yetu ambao ni watu wa amani, siungi mkono kumuombea binadamu yoyote kifo!. Huko ni kuwa "prophets of the doom!". Ndio maana japo sina chama, na CCM imeinajisi sana nchi yetu hii kwa miaka 50, iliyopita, bado siiombei CCM kifo, kwa sababu pamoja na mabaya yake yote, pia kuna mazuri CCM imelifanyia taifa hili!.
Pasco.

Hata mimi nilikuwa kwenye mtego huo, nafikiri njaa ilikuwa inamsukuma na si kile ambacho wengi tuliona toka kwake wakati ule
 
kweli akili yako inaendana na div 4 yako ni bora ukakaa kmya watu wakafikili kuna hekima dani yako kuliko kutapika mashudu watu wakajua upumbavu wako..kweli hii ni NEPI !!!!

Hekima gani hata kama atanyamaza? Hekima ya kula kwa mkkno wa kushoto? Unaikumbuka ile picha ambapo Nape anakula kana kwamba hajawahi kuona chakula kwa muda mrefu? Nape ni janga.
 
Chadema ni chama makini ila ccm inatumia hela nyingi sana kupandikiza watu mle. Wanalilia uchaguzi ufanyike ndani ya chama ili waanze kuwarubuni watakaochaguliwa kwa pesa.

Katibu mkuu pamban kuimarisha chama safisha mamluki wote tuingie kwenye chaguzi na viongozi wazalendo. Piga kura linda kura rushwa mwiko!
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.

Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Karl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....

Good point Ben,Tuendelee kumuuliza iwapo ana fikra na majibu ya kilevi hivi hiyo asubuhi,je angemjibu nini huyo kijana kama ingekuwa jioni!!
 
Nape awe makini na yale anayoondika (au kusema hadharani) maana yanayoweza kutoa tafsiri mbaya sana. Ukisoma ujumbe wa hii post yake ni kwamba anawaambia Watanzania kuwa Watu wenye asili ya Moshi wana lengo la kuharibu miji mingine, hawaitakii mema miji mingine tofauti na Moshi!

Sasa, mtu anaweza kuuliza, Nape anataka Watu ambao asili yao si Moshi wafanye nini mara wanapowaona watu wenye asili ya Moshi, wawapige mawe? Mtu akisema Nape anahubiri ukabila atakuwa anakosea?

Na si mara ya kwanza kumsikia Nape akiongelea watu wenye asili ya Moshi -wachaga- katika muktadha wa kuwabagua! Je, anachosema Nape kama katibu mwenezi wa CCM ndio msimamo wa chama chake? Ni vema CCM wakatoa ufafanuzi.

Kwa upande mwingine, kuna uzi unaohusu ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo. Sina hakika kama Nape amechangia chochote kwenye huo mjadala hadi sasa. Ni jambo la kujutiwa kwamba wanasiasa vijana wa Tanzania wanajikita kwenye hoja za ovyo na za kibaguzi kama hii ya inayohusu watu wa Moshi na kuacha kujadili maswali muhimu kama ujenzi wa bandari ya kisasa ya Bagamoyo.
 
Tundu Lissu ni mzandiki, mwongo, na mnafiki. Hawawezi kuandamana Moshi.
 
Bosi mimi sijaelewa vizuri
kichwa cha habari "Nasubiri kwa hamu maandamano ya Chadema Moshi"!
Habari yenyewe, mikutano ya chadema na uchaguzi wa chama. !!!

unasubiri kwa hamu maandamano ya chadema kwa maana na sababu zipi!!!! ??? yanakuhusu husu vipi!!! ??? au umepanga kufanya nini kwenye maandamano hayo.

Tafadhali! kunawajomba zetu wapo huko bwana....... tukisikia, Oooo chadema wamejilipua kwa bomu...... Oooo katekwa kakatwa miguu! Sisi tunaanza na wewe halafu yule mwenye kibaraghashia cha fidelcastro atafata.

Ndio Kiongozi wa Kutegemewa wa ccm anashindwa hata kuandika vitu vya maana sijui kwanini tunawaachia wapuuzi watuongoze
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Kwanini siku ya shambulio la westgate usingekumo ndani ya lile jumba?
 
mtei anakazana kutuharibia tu mji wetu mzuri wa Arusha , na chama chake lakini hana muda kupeleka maandamano kule kwao moshi, huwa najiuliza sana hili...kumbe na wenzangu mmeliona...
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.

Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Karl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....

Huyo jamaa anae jiita Nape nimjinga wakutupwa asie faaa hata kuishi jangwani.... akumbuke muda wao umekwisha pita sasa ni vugu vugu la mabadiliko ya kweli not bra bras...
 
Nape awe makini na yale anayoondika (au kusema hadharani) maana yanayoweza kutoa tafsiri mbaya sana. Ukisoma ujumbe wa hii post yake ni kwamba anawaambia Watanzania kuwa Watu wenye asili ya Moshi wana lengo la kuharibu miji mingine, hawaitakii mema miji mingine tofauti na Moshi!

Sasa, mtu anaweza kuuliza, Nape anataka Watu ambao asili yao si Moshi wafanye nini mara wanapowaona watu wenye asili ya Moshi, wawapige mawe? Mtu akisema Nape anahubiri ukabila atakuwa anakosea?

Na si mara ya kwanza kumsikia Nape akiongelea watu wenye asili ya Moshi -wachaga- katika muktadha wa kuwabagua! Je, anachosema Nape kama katibu mwenezi wa CCM ndio msimamo wa chama chake? Ni vema CCM wakatoa ufafanuzi.

Kwa upande mwingine, kuna uzi unaohusu ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo. Sina hakika kama Nape amechangia chochote kwenye huo mjadala hadi sasa. Ni jambo la kujutiwa kwamba wanasiasa vijana wa Tanzania wanajikita kwenye hoja za ovyo na za kibaguzi kama hii ya inayohusu watu wa Moshi na kuacha kujadili maswali muhimu kama ujenzi wa bandari ya kisasa ya Bagamoyo.

Upo sawa kabisa mkuu kwao kule Moshi shwari, nyumbani kwetu Arusha ndio mabomu na maandamano, tumewachoka sasa, tunahitaji amani kwenye mji wetu, hatutaki chadema ili tuwe na maendeleo, zaidi sana, tunawaona wakijenga majumba ya kifahari tu na kupena trip za ulaya kwa migongo ya damu na jasho ya watu wengine...
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Hakili zako hazina tofauti na za mwanamke unachowaza ni kujiremba ili usifiwe ila sio uangaike na kujibidiisha na mambo yako ili ukubalike ktk jamii.

Majungu ya nini mtoto wa kiume
 
hatusimamii dini sisi yeyote atakayeteuliwa na chama chetu tutamkubali hatuwezi kukubali nchi iingie mifukoni mwa watu wachache
Yetu macho!... Jf haifi leo wala kesho... ID ni kitambulisho tosha... Ninaamini wewe na wenzako kina marcopolo siyo CCM ila wafuasi wa chama ktk misingi ya imani.... Nasubiri saaana nione akigombea EDWARD wa Monduli, au Benard wa lindi, au Samweli wa Tabora nyie mtabaki CCM au mtakimbia...
Mgekuwa na mapenzi na nchi msingekubali nchi ivunwe na mafisadi kwa kiasi cha kutisha kama hiki.
 
Upo sawa kabisa mkuu kwao kule Moshi shwari, nyumbani kwetu Arusha ndio mabomu na maandamano, tumewachoka sasa, tunahitaji amani kwenye mji wetu, hatutaki chadema ili tuwe na maendeleo, zaidi sana, tunawaona wakijenga majumba ya kifahari tu na kupena trip za ulaya kwa migongo ya damu na jasho ya watu wengine...
Ninaamini wewe na wenzako kina marcopolo siyo CCM ila wafuasi wa chama ktk misingi ya imani.... Nasubiri saaana nione akigombea EDWARD wa Monduli, au Benard wa lindi, au Samweli wa Tabora nyie mtabaki CCM au mtakimbia...UDINI NA UKABILA NDIYO ALAMA YENU, TUSUBIRI.
 
mtei anakazana kutuharibia tu mji wetu mzuri wa Arusha , na chama chake lakini hana muda kupeleka maandamano kule kwao moshi, huwa najiuliza sana hili...kumbe na wenzangu mmeliona...
UDINI NA UKABILA NDIYO ALAMA YENU, TUSUBIRI 2015, akigombea mkristo CCM mtahamia chama gani.d.
 
Tundu Lissu ni mzandiki, mwongo, na mnafiki. Hawawezi kuandamana Moshi.

aliyekuzaa

mtei anakazana kutuharibia tu mji wetu mzuri wa Arusha , na chama chake lakini hana muda kupeleka maandamano kule kwao moshi, huwa najiuliza sana hili...kumbe na wenzangu mmeliona...
quote_icon.png
By Nape Nnauye Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Hii ndiyo salamu mpya ya chama chenu?
 
babu na bibi na baadhi ya dada na shangazi wa mtei wapo wapi hata vitaga uchumi vingi vya mtei vipo wapi hili liko wazi kuwa ni moshi.

Tumia akili kidogo, babu na bibi wa Obama ni wakenya hivyo kwa akili yako finyu Obama ni mkenya!:tape:
 
mkuu Nape sijaona mahali popote alipokutukana BEN SAANANE, nijuavyo mimi maneno kama mnafiki, muongo,mfitini na hata mzandiki, sidhani kama hayo ni matusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom