Mimi sijaona mantiki ya swali hili zaidi ya kuonyesha kuwa Nape ana fikra za ukabila na Udini, angalia alivyomalizia eti Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Kwahiyo kwa akili ya nape CCM ni cha wakwere kwasababu tu raisi ni ------ au cha Waislamu kwasababu tu raisi ni Muislamu?
Moshi sio mji wa kulinganishwa na Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya kwa mtiririko huo. hivi kama CCM ikianzisha maandamano yeyote yataanzaia kwao na Nape? au kwenye ile shule iliyomzawadia Nape division foo? kweli matokeo ya Nape yanarandana kabisa na fikra zake.
Badala ya kuanzisha mada zitakazosaidia kulikomboa Taifa kwenye umaskini, yeye ni kuleta mada za kijinga tu.
Nimejaribu kuwaza tu Kama Nape ni kijana mwenye akili zaidi ya vijana wote wa CCM hivyo kumpatia nafasi hiyo; na vivyo hivyo kwamba Bulembo ndio mwenye akili zaidi ya Wazazi wote waliopo CCM hivyo kupewa uwenyekiti wa wazazi wa CCM waliobaki wa hali gani?