"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Nape hana lolote. Ashukuru Mwigulu kumfanyia feva ya kumrekodi video akikunana na Catherine Magige Giraffe Hotel. Mtandao wa Lowassa ni mkareeeeeee

Mwacheni Nape matatizo mengi, hajui familia yake iko wapi wala hatima yake 2015, wala hajui amrithi mke wa kagasheki wakati yukohai. Nape na Catherine wanafanana usoni, siri yao ya urembo?

Carolight mkorogo. Catherine ndiye mchanganyaji na ndiye make up artist!
 
yanin kutafuta wahamiaji haram mipakan wakat wamejaa ccm?kwa maana wale wote wasiojali masilai ya TZ ndio wahamiaji haramu.,na nape ni mmoja wao
 
Chengachenga tu hapo,hivi hizi dini zimekosa raia kabisa kiasi cha kuanza kupokea mbu...l...u.....la................z!
Kha!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Anayekiombea kifo CDM atakufa yeye kwanza! ukisikia peoplessss gamba linadondoka eeh? ucpunguze tumbo kula mtt wa mama wazee unaotaka wafe wameshajenga chama,mbinu za mwaka 47 za udini ukanda ukabila,hata km uliambiwa ww ni wa kujibu waongo ss umezidi unatuboa kijana mdogo dikteta unadidimiza democrasia?
 
mdini, mwongo mkanda,mkabila,dikteta hivi hawa maccm howaoni mtu atalipua nchi,hbr tumsifu... inaingiaje hapa? ccj ilikufia mikononi, ccm haitabaki salama asante kwa kazi nzuri ila usilete tu udini na ukabila! huyo nape hakuna coordination kati ya mdomo na ubongo ila kati ya tumbo na mdomo
 
nimekufwatilia mda mrefu kumbe hata wewe uwezo wa kujibu hoja huna mwenzio anasema hili wewe unajibu lile napata shida kuelewa aina ya watu mlionao chadema kama na wewe ni mtu unaetegegewa kwenye chama chenu ni hasara kubwa

Endelea kunifuatilia.Nikijibu hoja utakosa kazi ya kunifuatilia...
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.

Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Carl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....
Mlishe sumu kama kawaida yako. Ukiishiwa hoja unakuwa mchawi
 
yanin kutafuta wahamiaji haram mipakan wakat wamejaa ccm?kwa maana wale wote wasiojali masilai ya TZ ndio wahamiaji haramu.,na nape ni mmoja wao
Vp hawa wamwagia watu tindikali na walisha sumu
 
Moshi chadema ndo wanatawala na kuongoza halmashauri hivyo ccm ndo wapinzani moshi na ndo wanatakiwa kuandamana. Nape acha umburula
 
Toka juzi niliidharau hii thread hata kuifungua kwa sababu nilihisi uvundo.
kwanza mtei hatoki wilaya ya moshi bali anatoka wilaya ya rombo na makazi yake yapo arusha.m2 pekee wa cdm anatoka moshi ni ndesamburro.
na kuhusu maandamano sijawahi kuona mzazi akimwadhibu mtoto muaminifu kwake,ccm siku wakiwa wapinzani mji wa kwanza kufanyia maandamano utakuwa moshi.
nape nakuomba uje na kwenye nyuzi zinazoongelea hotuba ya rais haswa suala la katiba mpya.
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Huyo ndiye katibu mwenezi!! Sifa yake ni kunena asiyoamini. Aliwahi kujiapiza kuyavua magamba mpaka leo hajayagusa hata kwa neno moja tu! Katibu mwenezi ni kwa vipi magamba bado yanatamba tena yanaonekana lulu kwenye kaya yetu? Au ndo kusema huna ubavu unapiga kelele ili usife njaa? NAJUA HUWEZI KUYAGUSA MAGAMBA! ULIPIGWA MKWARA MPAKA LEO KIMYAAA...!KAMA UNABISHA FUKUZA MAGAMBA TUKUONE! Chama hakiaminiki mpaka balozi mwenye akili za kichina atusaidie?
 
Kwa hiyo siyo sanduku la kura linaloamua? Ila ni mijitu iliyobeba UDINI na UKABILA ndiyo inaamua nani awe rais na nani asiwe rais?

chadomo kuchukua dola ya tz haitatokea wakina babu wanawadanganya wale mapesa yenu bure nchi haiwezi ongozwa na mkusanyiko wa wanaharakati

ukabila kaubeba nani kama sio nyie? maana kilichowasukuma zaidi ni kupigania haki za kabila lenu eti litwae tanzania ha ha ha mtasubiri sana
 
Nape wewe ni vuvuzela tu la ccm sikushangai maana hiyo ni laana ya kuzaliwa nje ys ndoa habari haieleweki rudi kajipange dogo
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Vipi CCJ una mpango wa kuifufua ukinyimwa kugombea tena?
 
Kaka Nape, Kambuka hiyo 74% ya wabunge unayotamba nayo ni ya wapiga kura milioni 8 tu kati ya milioni 20 ya wapiga kura waliojiandikisha. Basi jua hii katiba ni ya watanzania milioni 45! Pia kumbuka hao wapiga kura milioni 12 ambao hawakushiriki zoezi la uchaguzi 2010 ni kutokana na ubovu wa katiba hii. Basi wapeni watanzania katiba waitakayo ili mkipata hiyo 74% mtembee kifua mbele kweli unquestioned!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom