Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Niliona ukatili huu kwenye taarifa ya habari na baadaye documentary iliyotolewa na dada Kiwia kwenye kipindi chake. Sipati picha hapa ni kwa jinsi gani mwanaume anakuwa mkatili kiasi hicho cha kumtenda mtu uliyezaa naye na kulala kitanda kimoja. Kwa nini kama amekataliwa asitafute utaratibu mwingine kama watu wengine? Imemsaidia nini ilihali anakimbia kama Osama na lazima liwalo na liwe atakamatwa pale vijisenti vyake vitakapomalizika.
 
Dah hii kiboko, hizi picha zinasisimua, wajirudi hawa jamaa zetu, pia historically wanaume wa mkoa huu wamekuwa na hasira dhidi ya binadamu wengine, akina dada andaeni mbio, mkiolewa nao mjue siku yakipanda kichwani cha moto kitafuatia,
 
Mungu atupe roho zenye huruma, mateso gani haya ambayo mtu ana diriki kumfanyia mwanadamu mwenzake? Tena mkewe? Ambaye pengine wakati wa kumchumbia alimpa ahadi lukuki za kumpenda,kumtunza, kumhudumia, kumjali nk
Huu ni ukatili wa hali ya juu sana!
 
kipindi cha nyuma nilikuwa sijawahi kuishi karibu na hawa jamaa wa Mara, nilipo sasa kuna jamaa tunaishi naye nimeapa kabisa siwezi kumshauri au kumuruhusu dada au mtu wa karibu aolewe na hawa jamaa yani kwao mwanamke hawamweshimu kabisa jamaa anampiga mke wake mbele ya watoto na wapangaji,,, aibu tupu.
 
Dah hii kiboko, hizi picha zinasisimua, wajirudi hawa jamaa zetu, pia historically wanaume wa mkoa huu wamekuwa na hasira dhidi ya binadamu wengine, akina dada andaeni mbio, mkiolewa nao mjue siku yakipanda kichwani cha moto kitafuatia,
sio wote, lakini hizi mambo zinatufanya tukimbiwe na wachumba, mwanamke ukimwambia tu wewe ni wa MARA, ghafla anakata mguu!
 
Huyu Bwana ni Binadamu aliwekewa roho ya mnyamapori.
nasra+mume.jpg

Asiruhusiwe kuishi jirani na binadamu yeyote!.
 
May she rest in Peace. Nilimfahamu sana Bi Nasra kipindi nafanya kazi wilayani bunda. Alikuwa mjasiriamali, na mtu wa kujituma. Japo niliiona taaarifa ya habari kuhusu mkasa huu wa masikitiko, lakini kwa picha niliyoiona (alipovaa kilemba chekundu), mimehisi machozi kunidondoka............... Mara ya mwisho nilimwona 2010. R.I.P dada Nasra.
 
..Mkuu kipindi hicho ulifahamu lolote kuhusu ndoa yake ilikuwa katika hali gani?
 
daaa kweli mwanadamu anapande mbili huu ni upande wa unyama wake
 
huyu akikamatwa anatakiwa akatwe kiungo kimoja kimoja na msumeno tena taratiibu.na asruhusiwe kufa upesi ili na yeye ajue ubaya wa roho mbaya.shenzi taipu.
 
Mungu atupe roho zenye huruma, mateso gani haya ambayo mtu ana diriki kumfanyia mwanadamu mwenzake? Tena mkewe? Ambaye pengine wakati wa kumchumbia alimpa ahadi lukuki za kumpenda,kumtunza, kumhudumia, kumjali nk
Huu ni ukatili wa hali ya juu sana!
HorsePower hawa ni hawa hawa binadamu tunaopishana nao nakulala nao ndugu yangu i and will never trust nobody aise dunia hii wacha bana ,hii mioyo mingine imebeba mapanga na mashine za vita ati!!hivi inakuwaje mtu anajimilikisha mwili na roho ya mtu namna hii jamani,yaani kama yeye ndiye aliyemtengeneza sasa anambomoa .
 
Last edited by a moderator:
apumzike kwa amani dada nasra,
poleni wanawake wote mlio kwenye mateso ya ndoa!
na wapo wengi kweli kweli tanzania hii ndugu yangu unakuta mam ndio analisha familia ndio source ya inkam baba anashinda kilabuni na bado akija anakula akimaliza anampiga kesho kukikucha anakwenda kutafuta chakula baba anataka hela ya pombe akilewa anakuja kula nakumpiga tena ha kweli hii life ni antagonistic usiwaone watu hapa mijini wanaringa tuuu ila maisha ya mama zao huko ukiwakumbusha wanaringa MIMI NILIONA BABA YANGU AKIMRUSHIA MAMA BETRI MPAKA LEO IMENIIFECT SANA NAKUMBUKA MPAKA MWENDO KASI WA ILE SENARIOR ,ILA TULIKUWA HAPO PEMBENI TUKAMPA NA MAZA AKAMLENGA MOJA.
 
Back
Top Bottom