Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,947
- 5,342
Nzuri
Sana
Sana
Ahahaha kula matunda mchanganyiko na maji mengi.
una uzoefu katika hilo?Hii cream kwa wadada, cream zina chubua asee.
Huwaoni wadada asee?
Bei gan inauzwa iyo mkuuMie uwa natumia shower gel tu nyumbani kwangu maana sabuni za kawaida zinaambukiza fangasi haswa kwa watoto kama wanashare na dada wa kazi
Matumizi yake imeshaelezwa huko juu ila pia naona kama ni nafuu kuliko sabuni za kushika sijui niziitaje. Natumia DOVE Goat Milk ukimaliza kuoga bafuni kote kunanukia utadhani kwenye ndege
aina gani ni nzuri?Kuna mambo ukiyajua unajiuliza kimoyo moyo "nilikuaga wapi mimi"
Tumia shower gel hutokaa urudi kwenye vipande milele nakwambia
Ungeenda dukani ungejua zaidi,hizi vitu siwezi kukwambia n nzuri ipi
kwani zina recommendation ya aina ya ngozi ya mtu?Ungeenda dukani ungejua zaidi,hizi vitu siwezi kukwambia n nzuri ipi
maana ngozi yanguu na yako zipo tofauti kabisa,halafu kuna swala la harufu
naweza kukwambia hii nzuri halafu harufu yae ikakuchefua huko bafuni
hapa muhimu angalia wewe ngozi yako aina ipi na unahitaji aina ipi usije
nunua tu kisa watu wanasema nzuri,utakuja ogea kitu ikukatae ujutie maisha.
Kariakoo 10,000
Ahahahah...tafsiri ya wadada hio...
Naona kuna biashara unaitangaza hapa.Wakuu nilikuwa nasumbuliwa na mba kichwani ila toka nimeanza kutumia hizi sabuni ya maji umeisha na ngozi imekuwa soft hadi nafurahia
Wala sina biashara ila ni mrejesho tu mkuuNaona kuna biashara unaitangaza hapa.
umenunua wapi?bei kiasi gani?Ya south Africa View attachment 1463685
Nivea ziko poa
Nivea Inaacha marashi mwilini??Nivea elfu 8 tu na ni nzuri
Una chagua unayo taka kuna za marashi piaNivea Inaacha marashi mwilini??