Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

mimi ni handsome boy ila najiongeza pia kwa natural scrubs,mafuta mazuri na shower gels.si unaona utofauti kwenye picha hapo.plus navaa hereni .mnyamwezi hapo kapatia na mzuzu huo.style yake kali.kwenye maisha jifunze kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 1445286

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana unajiita Handsome Boy🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️
 
Kijana unajiita Handsome Boy
unaijua hii
FB_IMG_1588240785304.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom