ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 125
lool thank you for this nice wordsTake a break and be a gud girl. Kabla hujaamua kuwa na mwanaume befriend him first. Jaribu kuelewa anataka nini toka kwako, ili uweze kutofautisha wajasiria mali na wapitaji (Honestly wapitaji wapo wengi)
Kingine, ni vizuri ukaadopt tabia za kike zisizotuma picha mbaya kwa wanaume. Hizi huweza kumfanya mjasiria mali kugeuka mpitaji. Be a woman a man needs not a woman who needs men
preta umepitiwa na wengi ehee karibia ngapi? hamsini wanafika, mia je? nikikuangalia na unavyopost nilijua utakuwa na mnato balaa au utakuwa hata bikra..kumbe duh, ukilala chali nikakanyaka hapo kwa bahati mbaya mguu wangu unaweza kuzama wote..hahahahaWatatu tu.........
Wewe, kama binadamu mwenye hisia, una haki ya kujisikia hivyo lakini nakuambia, hotoweza kwenda kinyume na maumbile. Ipo siku atatokea mwanaume na utakapomwona na atakapokusemesha/kukusalimia etc utasahau kila kitu cha relations zilizopita na atauteka moyo wako. Then the rest is history..........Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Usichoke dada utakutana nae ambaye ana upendo wa kweli. Ila tatizo lenu wanawake mnapenda msipopendwa na kutoa nyodo pale mnapopendwa. Na bado hapo utakutana na wa kila aina hadi unaolewa
Usichoke dada utakutana nae ambaye ana upendo wa kweli. Ila tatizo lenu wanawake mnapenda msipopendwa na kutoa nyodo pale mnapopendwa. Na bado hapo utakutana na wa kila aina hadi unaolewa
Na usijekaa ukawaamini....
Sipati picha siku ya harusi yake ila ndo hivyo tena sisi wanaume siku hizi tumearibiwa na ninyi kutanguliza hela wakati wa uchumba,halafu mnalaumu eti tunawamega na kuwaacha!!
mwanaume kichwa cha nyumba............hata usipotanguliza hela unaachwa ishakuwa kasumba ya baadhi ya wanaume taama imetawala kila unayemwona unataka kujua kilichojificha kinauzuri gani
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Shemeji nakuamini wewe tu...Shemeji hata mimi!
Heri kuumizwa kwa kuambiwa ukweli kuliko kuliwazwa kwa uongoUsimkwaze mwanamke mwenzako mpe moyo wa faraja.
Koh koh koh ni sampling imefanyika jameni, jiongeze lolWatatu tu.........