Nashindwa kuwaamini wanaume

Nilivyoona hiyo avatar nikajua tayari ushawekwa ndani.

Ni sehemu ya maisha hayo unayopitia, atatokea chaguo lako na ambaye utamuamini.
 
Pole mwaya.
Ndio ukubwa huo ila ujifunze kuangalia facts zaidi badala ya mihemko.

Tumia akili, acha woga, jiamini, potezea hisia za mwili kwa muda, kwa kifupi tafuta mwanaume wa ukweli ukimpata be your best fuata sheria zote ulizofundishwa na wazazi wakati unakua, and pray a lot. funga na kushirikisha marafiki katika sala yako.
Ni kweli mke mtarajiwa anatakiwa awe mpole, mchangamfu, mwenye bidii na kazi, mwenye mvuto, msafi, asiye mvivu, trustworthy, mywepesi kuonyesha upendo wa kweli (sio sex), considerate, mwenye msimamo, stylish, asie na tamaa.
Very confusing lakini try.
 
Reactions: jae
Duuuh!
...pole bhana, ila jichunguze naww, kwanin inakutokea, huenda kuna vitu unakosea!
 

sio kwa wanaume wa kizazi chetu, mtu anapretend hadi unasema mume ndo huyu
 


NiPM niweze kukupa ushauri mzuri zaidi
 
Pole ndg. Relationship sasahivi ni mtihani. Hakuna mapenzi ya kweli. Ndoa zenyewe ni ngumu.kila wakati kuumizana tuu. Muombe Mungu usiwe na haraka subiri sauti ya Mungu. Utampata anaetoka kwake na mtadumu.wanaume wengi waongo sana.
 

Kwenye suala la kutotoa tunda akiyanani vile atabaki SINGLE 4 life.... Ila cha muhimu ni hapo kukwepa kulia shida kila dakika atachokwa faster
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…