Sanctus Libela
Member
- May 22, 2026
- 50
- 103
Sijawahi kutumia sogara ya aina yoyote labda pombe nayo ni mwaka mmoja sijanywa mpaka sasaAchana na sigara ni hatare
kwahiyo nyeto inaingia kote kote kwenye kumwaga mapema na kuchelewa kumwaga pia?Nyeto nyeto nyeto,video za tupu, lishe duni, mazoezi, maji mengi na kukesha
kushindwa kumaliza mapema round ya 2 kunasababishwa na hisia kuwa normal vuta hisia na akili iwepo hapo wakat unafanya utamaliza mapemaUmuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu.
Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya kwanza hamu huwa inakata baada ya muda dushe linasimama kuendelea 2nd round.
Tatizo linaanzia kwenye raundi ya 2 nitasugua weeeeee geuza style zote wapi wazungu hawatoki ng'o. Ila jamaa yupo standby mode.
Sasa wadau nimekuja kwenu najua mna uzoefu na hili jambo naombeni msaada wenu.
HAKIKA NI ZA KWETU.Umuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu.
Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya kwanza hamu huwa inakata baada ya muda dushe linasimama kuendelea 2nd round.
Tatizo linaanzia kwenye raundi ya 2 nitasugua weeeeee geuza style zote wapi wazungu hawatoki ng'o. Ila jamaa yupo standby mode.
Sasa wadau nimekuja kwenu najua mna uzoefu na hili jambo naombeni msaada wenu.
umeshauri vzuri sana. mm pia nina hii changamoto. nishawahi kujitahidi kula mihogo, karanga na kunywa maji ila matokeo yake n kwamba namwaga mbegu zote kwenye bao la kwanza zinakua nyngi sana ila baada ya hapo ndo hata nifanye lisaa lizima siwez kumwaga tena japo mashne inakua imesimamaTatzo linaanzia kweny hisia.
Hamu yako huisha round ya 1.
Jitahid kupiga style ambayo inakukonga endapo ukichelewa.
Kuna ile style mwanamke analalia tumbo nawew unamlalia mgongon unaipenyeza kwa chini.
Pia jitahd maji kunywa kwa wing.
Pia mihogo karanga au korosho hiv vyakula huongeza uwing wa mbegu
Chapa supu ya pweza weka pilipili ya kutosha humo pampja na kipome cha karanga piga na parachichi la Burundi zima 1hr before mtanange, halafu urudi hapa kutupa mrejesho, wakatabahuUmuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu.
Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya kwanza hamu huwa inakata baada ya muda dushe linasimama kuendelea 2nd round.
Tatizo linaanzia kwenye raundi ya 2 nitasugua weeeeee geuza style zote wapi wazungu hawatoki ng'o. Ila jamaa yupo standby mode.
Sasa wadau nimekuja kwenu najua mna uzoefu na hili jambo naombeni msaada wenu.
Chips haisuki hukoAcha kusingizia nyeto wakati unakula chips kutwaa na miguu ya kuku wanaita udambwi udambwi
Nyeto haihusiki mtaalam Mbaga Jr mpe somo mpwa wako