Nashindwa kumuelewa

Nashindwa kumuelewa

Kwani dada una plan ya kuishi miaka mingapi hapa duniani, maana yawezekana mwenzetu umepenyezewa nyepesi nyepesi na israel mtoa roho kuwa hana mpango na ww hadi miaka 200+++ ehh! ?

Wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nn mtu ujichagulie kuishi maisha ya huzuni na kusononeka na mashaka mashaka wakati unaweza kuchagua na kuyajenga mambo yako yakaenda vizuri na ukafurahi.

Kuna zile story za sijui "siwezi ishi bila wewe" , "wewe ndio jua langu bila wewe maisha yangu yako gizani", "kama sio wewe siwezi pata mwingine na ndio utakua mwisho wangu" nk nk nk, huu ni uongo uliotukuka, maisha yataendelea tu hata baada ya huyo uliyenaye akiondoka. Usijijaze ujinga kuwa siwezi kuachana naye kwa kua nampenda despite vituko vyote unavyoona sasa vipi akifa je? Na ww utajitoa roho?

Soma alama za nyakati then jiongeze usikatae kuuona ukweli uliopo mbele yako, kuna mkuu mmoja ame-coment kuwa mojawapo ya tabia ya baadhi ya wanaume anapomchoka mtu na kutaka kumtua ni hii ya kum-ignore, sasa ww unataka usubiri hadi uone picha za harusi yake ndio ujue kumekucha?

Anyway kupanga ni kuchagua, kama unataka uendelee kupelekwa pelekwa au unataka uonyeshe thamani yako ww ndio mwamuzi wa mwisho.

Good Morning.
 
Hahahahaa. Ubatizo wa moto haujawahi kumzuia mwanamke asipende
Ni kweli mpenzi natambua haimzuii kupenda tena ila atakuwa anakaa kwa machale sana, katika kila uhusiano utaokuja mbeleni na uwezekano wa kidume kulizwa huwa ni 90%!!! Ni wachache sana huweza kujiachia na kumpenda kwa moyo wote kidume kama alivyofanya kwa first love, lazma kuwe na misinema mingi sana inaendelea kwenye simu ya binti!
 
Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu
Hio miuno sasa, kama nakuona vile!
 
Unaonekana bado ni kuku mwenye kamba mguuni kwenye suala la mapenzi, huyo jamaa yako hana muda na wewe, jiongeze mdogo wangu.
NB: kuwa makini na watu watakao kufuata PM kujifanya wanatoa ushauri usipokuwa makini utalia muda si mrefu.
 
Kuna kaukweli hapo. Baada ya kutendwa mtu sio rahisi kushusha moyo wake kwa mwanaume mmoja hata awe anampenda. Anakaa kimachale machale japo anampenda ila akiona vidalili tu anajua kifuatacho ITV
Ni kweli mpenzi natambua haimzuii kupenda tena ila atakuwa anakaa kwa machale sana, katika kila uhusiano utaokuja mbeleni na uwezekano wa kidume kulizwa huwa ni 90%!!! Ni wachache sana huweza kujiachia na kumpenda kwa moyo wote kidume kama alivyofanya kwa first love, lazma kuwe na misinema mingi sana inaendelea kwenye simu ya binti!
 
Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu
Sawa my dear. Asante
 
Kwani dada una plan ya kuishi miaka mingapi hapa duniani, maana yawezekana mwenzetu umepenyezewa nyepesi nyepesi na israel mtoa roho kuwa hana mpango na ww hadi miaka 200+++ ehh! ?

Wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nn mtu ujichagulie kuishi maisha ya huzuni na kusononeka na mashaka mashaka wakati unaweza kuchagua na kuyajenga mambo yako yakaenda vizuri na ukafurahi.

Kuna zile story za sijui "siwezi ishi bila wewe" , "wewe ndio jua langu bila wewe maisha yangu yako gizani", "kama sio wewe siwezi pata mwingine na ndio utakua mwisho wangu" nk nk nk, huu ni uongo uliotukuka, maisha yataendelea tu hata baada ya huyo uliyenaye akiondoka. Usijijaze ujinga kuwa siwezi kuachana naye kwa kua nampenda despite vituko vyote unavyoona sasa vipi akifa je? Na ww utajitoa roho?

Soma alama za nyakati then jiongeze usikatae kuuona ukweli uliopo mbele yako, kuna mkuu mmoja ame-coment kuwa mojawapo ya tabia ya baadhi ya wanaume anapomchoka mtu na kutaka kumtua ni hii ya kum-ignore, sasa ww unataka usubiri hadi uone picha za harusi yake ndio ujue kumekucha?

Anyway kupanga ni kuchagua, kama unataka uendelee kupelekwa pelekwa au unataka uonyeshe thamani yako ww ndio mwamuzi wa mwisho.

Good Morning.
Good morning and asante sana. Nimekuelewa
 
Unaonekana bado ni kuku mwenye kamba mguuni kwenye suala la mapenzi, huyo jamaa yako hana muda na wewe, jiongeze mdogo wangu.
NB: kuwa makini na watu watakao kufuata PM kujifanya wanatoa ushauri usipokuwa makini utalia muda si mrefu.
Asante dear. Na naelewa tu ya PM yataishia PM. Nothing more.
 
Afu nimekuja kuamini msemo usemao.... PENYE MINGI HAKUNA WAJENZI....siku zote natafuta mtu wa kunipenda na kunicare kama hivi simuoni....afu naona watu kama nyie mnalia lia wakati sisi tupo DUH
 
Embu ni PM niko lonely sana..Mijitu mingine ikipendwa hayapendeki
Njoo utulie kwangu full time niko hewani
 
Pole endelea na maisha yako asikupotezee muda
 
Pole sana ..jiongeze tu mkuu " ndio umeshaachwa hivyo ..

BTW huyo jamaa yako anaroho mbaya Sana ..yaani unamtumia pesa halafu hata kukwambia asante nimeipata anashindwa duh !!? Kuna watu wa kavu kama gazeti ..

Binafsi huwa naiheshimu sana hela ya mwanamke kwa sababu jinsi wanavyo irafuta mpaka kufika mikononi mwao wengi wao hupitia kwenye masimango ya namna nyingi Sana " wengi wao haswaa huzipata baada ya kunyanyasika kingono .".. sio poa aisee Wanaume tuwe na huruma hata kwa uchache
 
I try but nkiamua hivyo after some days ananitafuta na kuniambia ananipenda sana. Yani ni km vile anajua kuwa najaribu kumove on alafu ananitafuta tena kunikumbusha.
Ameaumua kukuweka kiporo ...ili akijisikia horny awe anakutafuta tu ili umpe papuchi akate kiu chake ndio maana hakuambii kuwa hana time na wewe " ndio maana haachi pia kukutamkia maneno ya udanganyifu lakini (matamu ) ili aweze kukupumbaza "".jiongeze aisee
 
Back
Top Bottom