Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Pole sana umekosea wa kumtumia iyo hela watu wengine sio wastaarabu kabsaa ..fanya kun PM nkupe no uni tumie mm hela...nta kujibu text na call kila dk


hahahaMzee baba naona unashangilia..
Napita ivi..
Kuna mbadala wako hapo,pia uhusiano wa muda mrefu bila itimisho(ndoa) wengi wanaishia kwenye s.ex tu.Jaribu kuwa kwenye mahusiano yasiyozidi mwaka,ili 'future' yako ijulikane vinginevyo unaweza jikuta unaishia kuwa 'single mother' n.k
Nlimuuliza kwanini anazima simu akanijibu 'basi tu'. Asante kwa ushauri mpendwa, though nmeumiaJiongeze dada,hizo siyo dalili nzuri!anakufanyia makusudi tu!unadhani pia atakua kazima simu muda wote huo?atakua na namba nyingine!
Pole sana,kwa uandishi wako unaonekana ni mdada fulani decent usiyekua na experience na haya mambo!

Polee sana!ndio changamoto zenyewe hizo!Nlimuuliza kwanini anazima simu akanijibu 'basi tu'. Asante kwa ushauri mpendwa, though nmeumia![]()
Hahahahahahahahahahahahahahaha anazima kwa sababu yako wewe Dadaz yangu hautaki hapo ameshakuchoka........... Kila la kheriNlimuuliza kwanini anazima simu akanijibu 'basi tu'. Asante kwa ushauri mpendwa, though nmeumia![]()
Inawezekana ujana unamsumbua,kwa kujiridhisha hebu jaribu kuongea naye kuhusu matarajio yenu ya ndoa mnataka iwe lini;atakavyokujibu utajua yuko pamoja nawe au hapanaSawa. Thanks kwa ushauri
Inawezekana ujana unamsumbua,kwa kujiridhisha hebu jaribu kuongea naye kuhusu matarajio yenu ya ndoa mnataka iwe lini;atakavyokujibu utajua yuko pamoja nawe au hapana