Ndio maana una buruzwa ..hahaaWa kwanza ndiyo. Na sijawahi kuwa in serious relationship na mwingine zaidi yake.
Hahahaa jf mamaeeNimekutext Kule maeneo. Njoo mara moja tujaribu kuliweka sawa hilo tatizo.
kama nakuona vile mzee!! unawavua kama samaki wabichi kutoka ocean!Asante sana
Sa mbona sijaona hata text yako?Mawingu. Thankss
HahaaPropaganda Polepole haoni mbali. Unawarusha tu ndege.
Hivi ni Car au Mir ndo umemkataza kuingia tena JF?Hahaa
Ndio kina nani hao " mkuu !!? Mbona majina mapya machoni pangu ..HahaaHivi ni Car au Mir ndo umemkataza kuingia tena JF?
Hahaha dah ukiwa unamkana mtu hua una windo jingine umetega. Mleta uzi ajipangeNdio kina nani hao " mkuu !!? Mbona majina mapya machoni pangu ..Hahaa
Asante dada[emoji120]Mmh huyo kashapata mchongo mpya. Kati ya vitu au tabia nisizopenda kwa mwanaume ni hizo za kufanyaga kazi za kumbembeleza yeye, hyo kazi nilishafeli. Na wew chekecha akili uamke.. Mwanaume anaekupenda kwa dhati toka moyoni trust me hawezi kukufanyia upuuzi huo.
Labda. Kuna kipindi alinambia anataka kubadilisha number. Nikamuuliza kwa nini akanijibu 'basi tu'. So labda sababu ni hiyo, alitaka tu kunikwepaAna simu nyingine anayotumia ambayo wewe huijui.Mtu azime simu wiki nzima kwani ye hana watu wengine anaowasiliana tofauti na wew?
Unazunguka mno..Labda. Kuna kipindi alinambia anataka kubadilisha number. Nikamuuliza kwa nini akanijibu 'basi tu'. So labda sababu ni hiyo, alitaka tu kunikwepa