rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
Yeye yupo Bukoba. Mimi nipo Dar, kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu kwahiyo ni muda mrefu hatujaonana toka August. Na nlishawahi kumuuliza kwa nini kuna muda lazima awe hivyo alichonijibu ni kuwa nimvumilie tu, ananipenda na mm ndo mwanamke wake wa maisha. Ananipa wakati mgumu, na huwa anasema maneno hayo kila nkimuomba explanation




Huyo jamaa anafanya ambacho me niliwahi kukifanya aisee lakini ukweli ni kuwa JAMAA ALIKUTAMANI NA HAKUPENDI TENAA...! Tafuta mwingne move on