Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,125
- 190,541
Kitalainika kwa njonjo za pwani my love, usijali juu ya hilo!Hahahahaa... mimi kibonge kiuno kigumu darling
Kitalainika kwa njonjo za pwani my love, usijali juu ya hilo!Hahahahaa... mimi kibonge kiuno kigumu darling
Yaan huyu binti kanisikitisha sana kwenye hilo suala la hela, kweli ubatizo wa moto unamhusu huyu ili akili ikae sawa.Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu



Afu jamaa yako atakuwa anaishi na mwanamke mwingine ko anajiiba jaribu kufatiliaMmh we nae nn unahangaika na kujipendekeza hvo akimute nawe mute jamaa anakata mawasiliano taratbu sema we umeshupaza shingo yan angekuwa mm nahis angeshakuwa the study of past events![]()
Endelea nae tu..hakuna namna.Tatizo ndo lipo hapo kwenye kufanikiwa kuachana nae. Najitahidi lakini ni ngumu
Asante bossPole mode hiyo "rolleyes "ni nini maana wewe mtu wa3 naona unaandika hivo