Unajua binaadamu kuna baadhi ya siku unahitaji me time, hutaki kusumbuliwa na mtu hata awe mpenzi au bestfriend au wazee. Ikiwa jamaa bado ana upendo atakutafuta tu, lakini kama hakutaki hata salamu hatokupa. Ipo hivi mwanaume akimpenda mwanamke kuna wakati anataka amuowe, sasa unakuta mtu hana kazi hana hela hajui aanze wapi na hofu inatanda kwenye moyo wake ipo siku anaweza kukukosa. Sababu amechanganyikiwa na miaka inakwenda jee upendo upo kwenye simu,salamu, pesa au moyoni? Narejea tena anahitaji muda wa kutafakari pekee akimaliza atarudi tu.
Ndukiiiii

