Nashauri tuwaoe wasaidizi wa ndani ndio wake bora

Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa li slay queen hata kuosha vyombo haliwezi tena lina migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado uli entertain elements au Cape Town fish market.
House girl ukimuoa anapanda cheo naye anakuwa slay Queen. Na atatafuta msaidizi apumzike
 
Ukweli ni kwamba housegirl hana choice na ndio maana inambidi afanye yote hayo(shida tu) na elewa mtu hubadilika kutokana na standard ya maisha yake na ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wanapenda kutumia gharama sana yaani kila kitu expensive. Uwezo unavyoongezeka matumizi yanaongezeka.

House girl akiwa mke hawezi kukutumikia kama housegirl tena 😏 actually anaweza kuwa worse ya huyo slay queen...kama wale wanaoenda kuoa mke shamba amlete mjini akijanjaruka rafiki yangu hakamatiki!Utaomba pooo...
 
Wazo lako ni zuri lakini tambua wanawake sometimes huwa wanabadilika tabia wakiingia kwenye ndoa kwahiyo mbeleni anaweza akabadilika alafu ukajutia kumuoa. Hili swala la ndoa ni la kumshirikisha Mungu.
 
JIDANGANYE Tu. HAO wana watu wao,boda boda, wauzaji bucha,wauzaji magenge ,wapaka rangi kucha n.k.sasa JICHANGANYE
 
Ukweli ni kwamba housegirl hana choice na ndio maana inambidi afanye yote hayo(shida tu) na elewa mtu hubadilika kutokana na standard ya maisha yake na ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wanapenda kutumia gharama sana yaani kila kitu expensive. Uwezo unavyoongezeka matumizi yanaongezeka.House girl akiwa mke hawezi kukutumikia kama housegirl tena actually anaweza kuwa worse ya huyo slay queen...kama wale wanaoenda kuoa mke shamba amlete mjini akijanjaruka rafiki yangu hakamatiki!Utaomba pooo...
Kuna tofauti ya mtu ambaye anajua majukumu ya mke na kazi za nyumbani kwa experience na mtu ambaye hajui hata kuosha vyombo. Huyu mwenye experience ana advantage sana
 
Ukiwa kwenye mahusiano unajua mke wa aina gani unaenda kuoa...kama umeoa asiyejua kuosha vyombo na anayetunza kucha fake unategemea nn?
 
Mahouse girl ni wazuri ila sasa ukishamuweka ndani baba utajua anataka nini, utasikia eti nataka hichi mara kile
 
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa li slay queen hata kuosha vyombo haliwezi tena lina migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado uli entertain elements au Cape Town fish market.
Tuendelee kujifukiza
 
Ukishamuoa tu nae atahitaji house girl. Sidhani kama atakutumikia kwa mshahara mdogo tena bali atakuwa ni mke wako
 
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa li slay queen hata kuosha vyombo haliwezi tena lina migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado uli entertain elements au Cape Town fish market.
Ukisha muoa housegirl na yeye ana badilika anakuwa kama hao unao waponda,,, maana hata yeye atakwambia mlete house girl.....maana atakuwa amepanda cheo.

Binadamu hubadilika kila muda wowote huyo housegirl anaweza badilika na usiamini unacho kiona.....na ukatamani housegirl mwingine.............
 
Nlikua mbioni kuoa housegirl lakn naona mnakatisha tamaa. Nlitaka niagze mdada kutoka shamba huko mwanza/tanga aje mjn
Aiseee huwa wanapandaga bei mkuu wako kama nyanya zinavo doda sokoni unaeza kuta tenga zima la nyanya ni Tsh. 3000, ila baadae linafikaga mpaka Tsh. 100,000. Wanapandaga bei tunawaita kuku wa kienyeji hawa ni watamu wakiwa mahouse girl ile ladha yao ya kiharufu, papuchi na maziwa OG.

Ila sasa wakishaanza kusuka baada ya kupata bwana mamaaeee nywele mgongoni na kusugua kucha tu. Ukimpa kazi kidogo utasikia baby nina mafua we acha tu, inabidi tutafute housegirl humu ndani. Wanajuaga namna ya kugraduate mkuu daaah !!!!! Oa mkuu nisikutishe sana.
 
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa li slay queen hata kuosha vyombo haliwezi tena lina migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado uli entertain elements au Cape Town fish market.
Sema watu wa siku hizi wabishi sana ..... watu wanajua house girl hawana akili wamesahau kuwa wengine ni wapo hivyo kwa sababu za maisha tu
 
Back
Top Bottom