Nashauri tuwaoe wasaidizi wa ndani ndio wake bora

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa slay queen hata kuosha vyombo hawezi tena ana migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado um-entertain elements au Cape Town fish market.
 
Hahaaaa,tuwaoe jamani
 
Back
Top Bottom