yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,882
- 3,293
Agiza chap boss, hutajutia uamzi nakwambia.Nlikua mbioni kuoa housegirl lakn naona mnakatisha tamaa. Nlitaka niagze mdada kutoka shamba huko mwanza/tanga aje mjn
Agiza chap boss, hutajutia uamzi nakwambia.Nlikua mbioni kuoa housegirl lakn naona mnakatisha tamaa. Nlitaka niagze mdada kutoka shamba huko mwanza/tanga aje mjn
Dogo tena mkuu!Nakushauri dogo ukiona housegel jirani weka fasta alafu fanya utaratibu uvute jiko hutojutia
Sawa ushauri huo kampe dogo anayeanza maisha mchoma mahindi au bodabodaDaaa hizo kazi zote si sugu kali sana atakuwa nazo viganjani?
Hampendi wanawake walaini laini?
Kwako weka washing machine, E-moper, maoven sijui ni majiko ya umeme ya kisasa yale, madish washer na takataka zote zitakazofanya mkeo asiwe na sugu kwenye mikono akiishika mbo@@@ unasikia kushikwa na mwanamama.
Uwajibikaji na majukumu ndani ya familia. Je wewe ungependa mke anakaa tu nyumba chafu, hapiki, nguo chafu hadi ufagie wewe, upike wewe, ufue nguo wewe? Then badae anataka umtoe out, umpe hela ya shopping, saluni, starehe n.k?Je mke bora anapimwa kwa ufanisi wake kwenye kazi za ndani? Tuanzie hapa
Alafu hizo siyo kazi za kumfanya beki3 aote sugu, kwa experience yangu mabeki3 wengi wakija home wanakua wamechakaa na maisha ya kijijini ila wakikaa home miezi kadhaa wanabadilika wananawiri, wananona, na ngozi inaanza kung'aa na mikono inakua milaini zaidi inategemea na nyumba ila home beki3 anabadilika anakua kama mtoto wa kishua kabisa pisi kali.Daaa hizo kazi zote si sugu kali sana atakuwa nazo viganjani?
Hampendi wanawake walaini laini?
Kwako weka washing machine, E-moper, maoven sijui ni majiko ya umeme ya kisasa yale, madish washer na takataka zote zitakazofanya mkeo asiwe na sugu kwenye mikono akiishika mbo@@@ unasikia kushikwa na mwanamama.
Kwa mshahara gani mkuu? Hiyo work ethic ni tabia yake mostly, ndo mana mabeki3 wavivu huwa hawadumu, fikiria beki3 anafanya haya miaka zaidi ya minne bado unahisi ukimuoa atabadilika kweli? Huyo ni wa kuoa mkuu.Anafanya hivyo kwasababu title yake inamtaka kufanya hivyo, akishabadilika akawa mke basi hatokuwa yuleyule.
Ushari anauchukua anayeona unamfaa usiyemfaa anaupuuza.Sawa ushauri huo kampe dogo anayeanza maisha mchoma mahindi au bodaboda
Kama ana mikono milaini isiyo na sugu inapendeza sana.Alafu hizo siyo kazi za kumfanya beki3 aote sugu, kwa experience yangu mabeki3 wengi wakija home wanakua wamechakaa na maisha ya kijijini ila wakikaa home miezi kadhaa wanabadilika wananawiri, wananona, na ngozi inaanza kung'aa na mikono inakua milaini zaidi inategemea na nyumba ila home beki3 anabadilika anakua kama mtoto wa kishua kabisa pisi kali.
Mkuu, nafikiri hayo mambo ni ya zama za mawe. Wanawake tunaooa sasa hivi wana kazi zao hivyo pale inapowezekana usaidizi wa dada wa kazi unakua ni wa lazima. Vipimo vya mke bora sasa lazima vibadilike, apimwe kwenye maeneo yafuatayo, kwa mtazamo wangu: uaminifu (honesty and decency); malezi ya watoto kama mnao; mahusiano yake na wakwe na rafiki zako; ushiriki wake na mchango wake kwenye ujenzi wa familia na rasilimali zake; na mwisho namna anavyojituma kitandani.Uwajibikaji na majukumu ndani ya familia. Je wewe ungependa mke anakaa tu nyumba chafu, hapiki, nguo chafu hadi ufagie wewe, upike wewe, ufue nguo wewe? Then badae anataka umtoe out, umpe hela ya shopping, saluni, starehe n.k?
We sema beki3 wako ndo unampa hizo kazi sababu unamjali. Ila kuna beki tatu au mama wa nyumbani wana sugu sababu ya kazi.Sana, yani beki3 anaosha vyombo tu na kufua anapataje sugu mwamba? Kazi za kike hizo siyo kupiga suluhu kupasua miamba