Nashauri tuwaoe wasaidizi wa ndani ndio wake bora

Wazo lako ni zuri lakini tambua wanawake sometimes huwa wanabadilika tabia wakiingia kwenye ndoa kwahiyo mbeleni anaweza akabadilika alafu ukajutia kumuoa. Hili swala la ndoa ni la kumshirikisha Mungu.
Topic closed...
 
Sasa si anafanya hivyo sababu ni ajira yake hiyo, kama wewe tu unavyopambana na kazi yako.
Unajua siyo mabeki3 wote ni wachapa kazi wengi hawadumu hata wiki moja ila ukiona yupo karibu mwaka na anapiga kazi bila kulazimishwa yani automatic huyo anafaa kabisa kuoa
 
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula, anawapokea watoto toka shule, anafua nguo za shule za watoto, na bado anapata muda wa kutoa uroda wa kuibia kwa vijana/baba wa familia.

Alafu unakuta eti kijana anakuja kuoa slay queen hata kuosha vyombo hawezi tena ana migharama kama yote sijui hela ya saluni, sijui shopping, mafuta ya gari, kucha na bado um-entertain elements au Cape Town fish market.
Sawasawa
 
Back
Top Bottom