mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,192
- 19,118
Tulimpa dhamana watanzania wote kwenye sanduku la kura 2020 akiwa kama mgombea mwenza. Kwa maana hiyo watanzania tuliridhia in case of anything kwa mujibu wa katiba huyo atakuwa Rais wetu!!Mliompa dhamana? ..ni lini mlimpa dhamana wewe na nan?
Anajidanganya!!Kuna jamaa anasema hapa kuwa Ndungai ana wabunge na Mama ana watumishi wa serikali
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwenye sanduku la kura 2020!! Uneelewa majukumu tarajiwa ya mgombea mwenza kwa mujibu wa katiba??Hiyo dhamana ulimpa lini Samia wewe?
alizokopa zinatumika pia kwenye miradi ya sgr nz stigler's george!! uwe mwelewaKauli ya Ndugai itawaprove wrong. Kukopa hovyo na kupeleka kujenga matundu ya vyoo, ndio hela itarudi? Matundu ya vyoo yanaongezaje uwezo wa serikali wa kukusanya kodi za kuweza kurejesha mkopo?
Hakika Ndugai yuko vizuri sana, Anatutetea sisi wanyonge,, sema tu watanzania wengi ni mkumbo tuNdugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee
Mtanzania mwenye kadi ya CCM anaruhusiwa kujiunga na mjadala wowote wa kitaifa nje ya chumba cha mikutano ya chama chenu?Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee
Inafikia wakati mtu unakuwa huelewi ninyi vijana wa Chadema huwa mnataka nini hasa. Angeunga mkono, mngepinga. Amepinga, mnapinga! Ngachoka mie!!!Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee
kwani si alisema kwamba hajui na hana uhakika kama akiondoka watakaofuata wataweza kuimaliza? Alijua kwamba kaweka msingi wa ujenzi wa miradi mingi.Mchawi hapa ni jiwe aliyeanzisha miradi mingi kwa pamoja huku akiwa hana mbinu ya kuukuza uchumi wa nchi.
Mku nafikiri Mh.Ndugai yaweza kuwa sahihi.Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee
Bega kwa bega na Rais wetu hadi kielewekeNdugu zangu wa JF

Aaawapi ,madaraka yalivyokuwa matamu.Hata Kwa greder habwagi ntu manyanga. Hadi tone la mwisho no full kupanbana🤔.Wadau Watanzania Wote Tumeusikia na kuutazama MPAMBANO baina ya MIHIMILI Miwili yaani SERIKALI NA BUNGE.Mpambano huo Unatokana na Serikali kuamua Kutekeleza Bajeti iliyopitishwa na BUNGE iliyohusisha UKOPAJI.
Kwa Mshangao MKUBWA Spika wa Bunge Alihutubia Wagogo Wenzake na KUIPONDA SERIKALI kwa KUKOPA na Kudai Huenda NCHI ikapigwa MNADA.Kutokana na KAULI hiyo ya SPIKA
Mh.RAIS amehitimisha MPAMBANO LEO.
USHAURI kwa SPIKA
Nichukue Nafasi kumtaka SPIKA NDUGUI Atumie UUNGWANA aliouonyesha Jana KUOMBA MSAMAHA KUTANGAZA "KUJIUZULU" kwani "HATAAMINIKA TENA"
Hatakuwa na hoja ya kumshtaki Rais kwasababu keshauza 'ghala la silaha' kwa kuomba msamahaMfano akitaka iwe vita akaja na ile kuwa hatuna imani na rais? Sema sisi wananchi tutalivamia bunge nawaza kwa sauti😀😀😀
Tunajua hakuna utamaduni wa kuwajibika kwa matendo au kauliAaawapi ,madaraka yalivyokuwa matamu.Hata Kwa greder habwagi ntu manyanga. Hadi tone la mwisho no full kupanbana🤔.