Kauli ya Ndugai itawaprove wrong. Kukopa hovyo na kupeleka kujenga matundu ya vyoo, ndio hela itarudi? Matundu ya vyoo yanaongezaje uwezo wa serikali wa kukusanya kodi za kuweza kurejesha mkopo?Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!!
Ndugai lazima ANG'OKE.
Hakuna chochote, uzushi uliozoeleka kila siku, ni kama ule uzushi wenu wa Msoga ndiyo inaongoza Ikulu, Nonsense
Na hiyo katiba haiwezi kupatikana bila Samia na Chama chake kuridhia, na maridhiano hayo yanakuja kwa mazungumzo na siyo kususia kama last borns.Ninakazia "minyukano yenu huko havituhusu."
Katiba mpya ndiyo pekee kinacho tufikirisha.
Na hiyo katiba haiwezi kupatikana bila Samia na Chama chake kuridhia, na maridhiano hayo yanakuja kwa mazungumzo na siyo kususia kama last borns.
Endeleeni na huo uanaharakati wenu tuone utawafikisha wapi, hizo harakati zimeshindwa hata kumpatia dhamana Mkiti wenu ndiyo zitatuletea jambo kubwa kama katiba? Evolve guys, hatupo tena kwenye dunia ya akina Che Guavara
Endeleeni na huo uanaharakati wenu tuone utawafikisha wapi, hizo harakati zimeshindwa hata kumpatia dhamana Mkiti wenu ndiyo zitatuletea jambo kubwa kama katiba? Evolve guys, hatupo tena kwenye dunia ya akina Che Guavara
Makamu wa Rais anateua!!??Makamu wa rais but angeweza tu
Sawa Chief, Ila sidhani kama uzinjanthropus utawatoka siku za karibuniDunia ya akina Guevara inaishi na itaendelea kuishi.
Uzuri ni kuwa hatuwahitaji.
Kila mtu na ajishindie mechi zake.
Inaonekana kamavile unastress na dishi limeyumba kidogo.Umevisahau ghafla vilivyo fanywa Chatto na kanda pendwa kwa ujumla, walipaji sisi?
Chato kupo hivi. Je, hii ngozi haivutwi mno?
Cheti? No wonder nina vyeti matata sana kuliko utakavyoweza kuvipata maishani mwako mburula wewe.
Hata hivyo nisiache kukwambia. Msituhusishe na mambo yenu. Habari nzima iko hapa:
1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda yetu ni ya kudumu si marafiki.
Pambaneni na hali zenu huko.
Inaonekana kamavile unastress na dishi limeyumba kidogo.
Kwani wewe ulitaka hiyo barabara ikajengwe mkoa ama wilaya gani ndio ungeridhika.
Wewe pia unalinda kaburi bila kujua, maana huachi kulitaja 24/7.Umemuachia nani leo Lindo la kaburi la dhalimu huko chattle?
Mwenye dish lililoyumba ana reference bora kuliko ulizo nazo wewe?
Pambaneni na hali zenu huko.
Sisi hayatuhusu na wala msituhusishe.
Angalizo: Kumbe wewe ni mshika zamu kwenye lindo? Kwa hakika dish kuyumba na stress haziwezi kuwa mbali nawe.
Hiiiiii bagosha!
Sawa Chief, Ila sidhani kama uzinjanthropus utawatoka siku za karibuni
Nimekuuliza ulitaka hizo barabara zilizo jegwa huko chato unazosema ni upendeleo ulitaka zijengwe mkoa,ama wilaya gani ndio ingekuwa sawa na si upendeleo!.
Jibu swali acha kurukaruka kama marage jikoni.
Hayo yalikuwa enzi hizo, now tuna AI, mambo mapya kabisa, ukileta usumbufu sana tunakushushia drone then maisha yanaendeleaSi walisema mwenye kicheko bora si ni yule mwenye kucheka mwisho? Wala isiwe taabu tutakumbushana. Inshallah.
Hayo yalikuwa enzi hizo, now tuna AI, mambo mapya kabisa, ukileta usumbufu sana tunakushushia drone then maisha yanaendelea
Ni kweli ajiuzulu tuNdugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee
Unaendelea kukariri nyimbo za umaskini wa afrika chanzo ni wazungu. Walishaondoka tangu mwanzo wa miaka ya sitini, mbona bado umaskini unatutesa mpaka leo?.
Switzerland kwa eneo ni ndogo sana lakini wanajitegemea. Tanzania kuna maeneo mpaka leo hayajaguswa lakini tunalia umaskini.
Kazi iendelee 2022Tatizo ni nyie, wewe, na wenzako mnotawala hii nchi.
Lazima uwe CCM hata kama huna akili kutawala hii nchi kupata nafasi, kuongoza.
Watanzania wengi wana vipaji, hawana vyama, Wangepata nafasi za uongozi wangefanya vizuri sana.