Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

Sina hakika kama VETA wanatoa manesi, madaktar,wafamasia na professionals wengine wengi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa,, labda unifumbue kwa hilo mkuu.
Ndio maana nilishasema degree zinazotumika bongo nizaaina mbili tu za afya na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu.
 
Mtoa maada yupo sahihi tu Kwani hizo degree mbali na za afya na uwalimu Zina msaada Gani Kwa taifa.

Sema nini wakuu degree ni utapeli tu
 
kuna faida gani kuwa na madaktari wengi na kazi hakuna ?
Bhasi Vyuo vyotr vifungwee maana Hakuna kada ambayo haina watu wa kutosha leo hii. Maengineer wamedodaa..waalimu ndo usiseme sijui watu wa Uchumi wameamua waendeshe boda boda.. Vyuo vifungwe majengo tufugie kuku
 
Mimi nimesoma na jamaa, ela yake ya accomodation alikuwa anaigawana na watu wa nyumbani kwao huko kijinini. anasema wanaanzisha biashara. kwani shida iko wapi mtu akijibana aanzishe biashara ni akili hiyo.
Kheri huyo kafikiria kuinua kipato cha nyumbani kupitia pesa ya mkopo
 
Kuto kusoma HE, sisi haituhusu,
Boom tamu weyeee.
Hela ya serikali usipoila ukiwa chuoni Subiri mpaka miaka 20 mbele.. Hapa katikati pana ka age tunakaita maturity age (MA) upauke kwanza kidogo. Ko vijana msijibane sana hela ya boom hainyanyui zege aise.
 
Mkopo ni zawadi na motisha kwa walio faulu vizuri mtihani wa form four, form six na diploma. Wanao jiunga na diploma ni watu waliofeli mtihani wa form four ndio maana wanaitwa diploma holders. Hatuwezi kuwapatia mkopo watu waliofeli kwasababu tutakua tunadidimiza tiafa letu kwanza ni kundi kubwa. We kijana unataka tuue elimu yetu.
 
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?

Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?

Nimeona serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma,, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yani kujibebesha mzigo juu ya mzigo ,,, cha muhimu hapo serikali wapige kimya tu na huko kwa ngazi ya degree wawafutie kabisa kama ikibidi labda wawape ada tu ,pesa ya kula wajitegemee.
Upumbavu hauna ujazo

Only imbeciles could think like this
 
Hela ya serikali usipoila ukiwa chuoni Subiri mpaka miaka 20 mbele.. Hapa katikati pana ka age tunakaita maturity age (MA) upauke kwanza kidogo. Ko vijana msijibane sana hela ya boom hainyanyui zege aise.
Ndiwooo ndiwooo
 
Taifa gani mkuu??? Si wanakata hela yao kwenye mshahara au unataka niwasaidie nini???
Hajui kwamba hela yao wanakata na PAYE unalipa vizuri ambayo kimsingi ni kodi unayochangia direct kwenye maendeleo ya nchi
 
Back
Top Bottom