DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
- #21
Leo imetumika hiyo angle ili msalimiwe na mama yenu na mumshangilie ila nakwambia hakuna uwanja utajengwa pale.Shida ni eneo la Kaunda lilikuwa halitoshi. Serikali imewaongezea Yanga eneo ambalo lipo kwenye mpango wa World Bank, na hivyo ilikuwa ni lazima itolewe hati mpya.
Kwenye hili naweza kuwatetea viongozi. Na siku ya mkutano mkuu wa klabu, Injinia Hersi pamoja na Waziri/Naibu Waziri wa ardhi (Deo Ndejembi), alitolea pia ufafanuzi.