Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

Kuna watu wana hobby ya kutapeliwa.. Hata hivyo tusiwashangae maana rangi zinafanana
hata wewe mkuu umejaa kwnye porojo za wivu za mleta mada..mbona inawezekana kujenga uwanja mzuri sana hapo jangwani..swali ni je,unatumia teknolojia ipi na ya wapi..maana wenzetu weupe wanazo teknolojia za kujenga hadi chini ya bahari ni yanga tu na pesa yao..na kama tutatumia teknolojia yetu ya kibongo uwanja hautokuwa tofauti na ile karakana ya Mwendokasi pale jangwani na hapo mtakuwa sahihi kuponda.
 
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.

Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani.

Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati?

Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja utakaokuwa umejengwa pale.

Pitia nilichowahi kusema kuhusu hizi porojo.
Mwendo kasi zenyewe imeshindikana uwanja unajengaje pale jangwani.
 
Back
Top Bottom