Napitia katika changamoto kubwa

Napitia katika changamoto kubwa

Hua nawaambia hata dada zangu kuna umri wanakua wa motoo kila mwanaume anawatamani ndani yake wapo walio siriazi kuwaoa, hicho kipindi wasiache kipite hivihivi kwa madai bado wadogo, cjui mpaka wapate kazi na ni kipindi wakiwa na miaka 24 hadi 30 wakiruhusu hicho kipindi kikipita wanaume waoaji walibaki ni wa kuwatafuta kwa tochi sababu kwa umri km wako mwanaume anatakiwa awe na umri usiopungua miaka 35, na wanaojiamni wa umri huo wengi washaoa au wana watoto hawana shida ya kuoa,
Nikupe pole sana japo waweza pata mme akufaae, Mungu hupanga kwa wakati wake,

Ila kwa huu uzi umewaaibisha sana wanaume wa mikoani, amini nakuambia ungekua DAR usingekuja na huu uzi hapa, hata km ungekua hujaolewa hiyo bikra yako ungekua ushawakabidhi pengine na watoto juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
janescom
(People hate the truth b'se it is ugly and unpleasant)

Kwa mtazamo wangu, nimepata wasaa mzuri wa kutafakari sana hii issue yako na pia kupitia comments za wachangiaji wengine nione kama wao wanaona kama navyoona mimi, kwa bahati mbaya sana naona kila mtu ana muono wake. Ni kawaida sana.

Mimi nimeona hii issue yako iko hv:

Moja, wewe umeji lock mwenyewe (sio kwa kutunza bikra yako hapana, ila kivingine kabisa sijui kama utanielewa)

Pili, sio kwamba wanaume hawakuoni, la wanakuona na kukutamani sana ila you seem so complicated (sasa usiniulize kivp)

Tatu, sasa to make the matter worse you 'complicate the whereabouts' ni kama vile yule mtu fulani kasoma halafu she/he don't just understand how the 'REAL' world operates! (sasa mimi usiniulize how the real world operates).

Sasa, solution yako ni nini?

Solution yako ni hadi pale utakapo unlock yourself no body can unlock you!

Ni hadi pale utapokuwa a very simple but smart woman and lastly ni hadi pale utakapoanza kuelewa and play to the heart and minds of the real world!

Again, huu ni mtazamo wangu mimi..!
 
Umepata ushauri mwingi sana, lakini pia umejianika kwenye moto kupitia threads hii.

Kazi kwako kuchuja what's Right and what's Wrong.

Natamani nikushauri kitu lkn na-drive. Best of luck!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janesc


Janescom,

Pole kwa uliyopitia. Pole sana. Nadhani tunaweza kukutana pamoja tukayajenga,kwa thinking uliyonayo nadhani kuna kitu cha msingi tutakitengeneza na furaha yako itarudi. Sijajua uko mkoa gani,lakini nahisi uko Dar es Salaam. Kama ndivyo,naomba unipigie namba yangu ni hii 0783 308 062. Let us meet and talk and get assured that all shall be well
watu wengine bwana yaani unaweka namba yako ya simu kwenye social media kabisaaa, inaonekana hauko serious
 
Inbox yake ita-jam leo, asipokuwa makini watu watajipigia balaa, jf ni nzuri ila yaweza kuwa jalala mtu asipokuwa makini.

weee unadhani ni rahisi kiasi hicho? fikiria katunzaje bikra hadi sasa ana 32?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huyu dada leo sijui kapata pm ngapi, bikra jamani inawazuzua.
inawezekana hata sio mdada ni dume tu linataka kupima upepo wa namna wanaume wa JF wanavyopenda vya bure kuliko vya gharama
 
okoyoko hujajibiwa pm nini? nacheka kweli kweli nakuapia kama yuko siriaz hatanii huyu mleta mada atbngukia kwa fisi mmoja atajuta humu maana id zinazofatilia hii post 80% ni mpya.
Nawaza bikra miaka 32 kasoma chuo na kazi anafanya hakuna mjanja hata mmoja?
 
Back
Top Bottom