A
Anonymous
Guest
Habari wanajamii,
Leo naomba kuwasilisha kero yangu ambayo kwa sisi wakazi wa Ushirika wa Neema, Moshi inatukwaza sana, nayo ni KERO YA MAJI.
Inashangaza kuona eneo kama Ushirika wa Neema kuna kuwa na kero ya maji ilhali mabomba na vyanzo vya maji vikubwa vipo karibu na eneo hilo.
Toka mwezi Novemba 2025, kero ya maji imekuwa kubwa sana. Ilipofika Disemba mwishoni 2025 ilipungua kidogo na sasa imeshika hatamu tena.
Tunaomba mamlaka husika wachukue hatua stahiki kwani inatulazimu kununua maji ya kisima kwa bei ya juu na kupoteza muda kwenye foleni kisimani