Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Katiba inahusika sanaa sio kitu cha kubeza katiba inafanya kuwa na direction moja kwenye utawala sio kila awamu inakuja na kauli yake katiba inaeta hofu kwa viongozi
Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.

Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
 
Hii ni roho ya mtu ...naweza kusema wewe ndiye mwenye lengo baya na Taifa letu kuliko ata huyo unaemfikiria hivyo. Kwanza kauli zako zinaonyesha wewe sio mtu mwema kabisa. Ungekua mtu mwema tusingeona kauli kama hizi hapa. Kwanza MH.Lissu ni moja ya watanzania ambao wamejaribu kulifanyia Taifa ili kuliko ata wewe usie ata julikana.
We unijue usinijue hainihusu. Mbona hamkwenda kumpokea mna kazi ya kuwa keyboard warriors mitandaoni tu
 
Aaaah ukiwa mtu local mambo kama haya utaona shida sana. Hapo unatamani uwe wewe au dada yako.....aaaahhhh kwikwiiiiiiiiii
Alafu angeoneakanaga The Late JPM enzi hizo mbona mishipa ingewasimama. Lissu is a failure bwana akapumzike nje huko asituchoshe sie
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Njoo Vijijini uwaambie wakulima watauza mchele kilo sh.900
 
Ni kweli anatia mashaka sana, kimfano anapohoji katiba inahusika vipi kuwepo kwa tozo! Au wakulima kutopewa ruzuku itayopunguza gharama za uzalishaji na kushusha bei ya nafaka. Tena anahoji magufuli aliweza kwa katiba ipi na sasa inashindikana kwann!

Na bado haoni katiba ndio tatizo kuu!
Sasa mfano Rais akisema ameondoa ruzuku kwenye hotuba ya bajeti hivi unajua kwamba bunge likipinga Rais ana ruhusiwa kulivunja. Mind you Rais ndio mwenyekiti wa CCM so wanaweza wote wakavuliwa uanachama wakakosa ubunge.

Lakini Kwa katiba ya Warioba wabunge watakaopinga bajeti hata wakifukuzwa chama Bado watabaki wabunge maana independents wanaruhusiwa, pili bunge haliwezi vunjwa kisa kupinga bajeti zaidi italazimu serikali ifikie makubaliano na madai ya wabunge.

Sasa nyie kwa sababu JPM alifoka tu bei ikashuka basi ndio suluhu kwani nani alisema JPM ataishi milele? Such short sighted mindset. Kwa akili hizi hata marekani wasingekua na Katiba kisa Wana maendeleo makubwa tayari!!
 
Alafu angeoneakanaga The Late JPM enzi hizo mbona mishipa ingewasimama. Lissu is a failure bwana akapumzike nje huko asituchoshe sie
Failure kwa lipi? Alivyo achieve wewe na ukoo wako nani anaweza? Hivi unajua sheria za madini kubadilishwa Ile mwanzoni 2010 ni sababu ya kina Lissu kupambana migodini huko!!

More so JPM alisema muswada wa gesi na mafuta wa 2015 ufumuliwe ni sababu Lissu ndio aliongoza Chadema kuupinga Hadi wakatolewa nje ya bunge, unajua Trillion ngapi ya hasara tungepata sababu ya muswada ule??

Wewe una lipi umefanikisha tokea umezaliwa la kukumbukwa nchi hii? Empty set kabisa.
 
🐒🐒🐒
16737660788194.jpg
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Katiba ingetuwezesha kumkamata yule baba aliyekuwa anakwapua kodi zetu bila utaratibu kununua ndege na kula genji. Katiba ingemdhibiti yule mtakatifu aliyeamua kupeleka maendeleo yote bila tija kijijini kwao. Katiba ingethibiti majambazi yanayotumia 500bn kujinunulia magari ya anasa.
Tukifanya yote tungebaki na fedha za kufanya changamoto zote ulizotaja na nyingi nyinginezo ziondoke!
 
Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.

Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
Nikweli asee sisi niwatu waoga sana itabidi jeshi lisaidie kuisimamia katiba pia utaratibu wa teuzi kwa wakuu wa majeshi ungebadilishwa ili wasiwe kama wanasiasa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Iko hivi bandugu hata katika familia yako tu kama amri zote hapo nyumbani ni zinatolewa na mtu mmoja ziwe nzuri au mbaya maadamu mtoaji amri ameona ni sawa na huyo mtoa Amri hahojiwi na mtu yeyote na ni lazima zitekelezwe ! Familia hiyo ni lazima itakuwa na matatizo mengi sana pamoja na hayo uliyoyaorodhesha !! I stand to be corrected !! Ndio maana linakuja suala la katiba mpya ili mambo yoooote muhimu asirundikiwe mtu mmoja tu mpaka Mkuu mmoja alisemaga analala na mafaili kitandani!! Hiyo peke yake ni tatizo kubwa kuichosha akili ya mtu mkubwa ambaye anaweza kutoa maamuzi yasiyo sahihi kisha ikaleta shida baadaye !!
 
Kweli wajinga ndiyo waliwao yaani mtu hajuwi hata maisha ya watu wanao lalamika maisha magumu unakuja tu nakuanza kutapika mtu gani yeye anajuwa kulaumu tu. Tuambie sisi kuwa tufanye hivi ili iwe hivi we mchele bei juu kwa ajili ya katiba na uingereza ujerumani nao wanalalamika njaa kwaajili ya katiba , kwendaaa hauna tofauti na bendera.
 
- kuhusu tozo chanzo chake ni Katiba kwa sababu tozo ni Kodi na Katiba imesema kuwa Hakuna Kodi itakayotozwa hadi iwepo sheria ya kusimamia hiyo Kodi, na pia Katiba imesema bunge halitajadili muswada wowote wa kutoza Kodi hadi Rais aamue hivyo kupitia waziri wa fedha, hivyo basi tozo zote zimetokana na Katiba hii ya 1977, (tozo za haki na zisizo za haki)
-kuhusu ruzuku na kushuka kwa uzalishaji ni Kwa sababu muundo WA serikali ni mbovu, maeneo yenye uzalishaji yalitakiwa yajengewe miundombinu ya kufikika, na pia hayo maeneo/ mikoa ilitakiwa ipewe mamlaka ya kujipangia na kujiamulia yenyewe kitu ambacho hakiwezekani kwa Katiba hii.
  • kuhusu kukatika umeme pia Katiba imechangia, kwa sababu Viongozi wamekuwa sio wawajibikaji, but wanawajibika kwa Rais tu na sio kwa Wananchi
  • kuhusu kufungua mipaka na wageni kuingia, pia Katiba inachangia kwa sababu Viongozi hawawajibiki Kwa Wananchi, wanajua kwa udhaifu wa Katiba wataiba kura na wataendelea kuongoza hata kama kilo Moja ya Michele iwe 7000/-,
Hapana, napingana nawe kwasababu zifuatazo;

- Unapodai kuhusu tozo chanzo chake ni katiba, unakuwa umeandika statement iliyojifunga, kwasababu, katiba ni maandishi tu, yaliyopo kwenye makaratasi, hivyo ili hayo maandishi yawe na impact [positive au negative] lazima yapelekwe kwenye vitendo..

Sasa swali la kujiuliza, ni nani anayepeleka hayo mambo kwenye vitendo?

Jibu ni Rais, yeye ndie hupeleka hayo yote kwenye vitendo, kwasababu kama tujuavyo, ili sheria yoyote iliyopitishwa na bunge ianze kufanya kazi, sharti itiwe sahihi na Rais ili ianze kutumika, hivyo kama sheria hiyo itakuja kuwa na maumivu kwa mtanzania, wakulaumiwa ni Rais kwasababu yeye ndie aliyeruhusu itumike.

- Kuhusu ruzuku na kushuka kwa uzalishaji unadai chanzo ni muundo mbovu wa serikali, sasa kwani kiongozi wa hiyo serikali ni nani? jibu ni Rais, huyu ndie anayepanga serikali yake iwe vipi, kama ikiwa na muundo mbovu, basi yeye ndie chanzo cha kushindwa kuipanga serikali yake lazima alaumiwe.

- Kuhusu kukatika kwa umeme nako unailaumu Katiba, huu wako sasa ni usanii, unadai viongozi sio wawajibikaji, nikuulize nani mwenye jukumu la kuwateua hao viongozi? jibu ni Rais, hivyo kama ameamua kuwakumbatia viongozi wasio wajibika, lawama lazima ziende kwake, fair and square!.

- Kufungua mipaka na wageni kuingia nako unalaumu Katiba kwasababu viongozi hawawajibiki, swali kwako tena, kwanini nani mwenye jukumu la kuwateua na kuwatengua viongozi wasiowajibika? jibu ni Rais.
 
Failure kwa lipi? Alivyo achieve wewe na ukoo wako nani anaweza? Hivi unajua sheria za madini kubadilishwa Ile mwanzoni 2010 ni sababu ya kina Lissu kupambana migodini huko!!

More so JPM alisema muswada wa gesi na mafuta wa 2015 ufumuliwe ni sababu Lissu ndio aliongoza Chadema kuupinga Hadi wakatolewa nje ya bunge, unajua Trillion ngapi ya hasara tungepata sababu ya muswada ule??

Wewe una lipi umefanikisha tokea umezaliwa la kukumbukwa nchi hii? Empty set kabisa.
Mimi kama mpiga kura nasema lissu hanifai. Hayo mafanikio umeyaona wewe. Being a leader goes beyond that. Tabia za wanawake wa uswahilini za kwenda kumchafua mtu hadi kwenye vyombo vya habari tena vya nje ya nchi. Tena mbaya zaidi mtu ambae ameshafariki. That was a no-go for me. Liende huko. Na nyie chawa wake mpepeeni maana ataiona joto ya jiwe kwenye kura. Haambulii kitu.
 
Failure kwa lipi? Alivyo achieve wewe na ukoo wako nani anaweza? Hivi unajua sheria za madini kubadilishwa Ile mwanzoni 2010 ni sababu ya kina Lissu kupambana migodini huko!!

More so JPM alisema muswada wa gesi na mafuta wa 2015 ufumuliwe ni sababu Lissu ndio aliongoza Chadema kuupinga Hadi wakatolewa nje ya bunge, unajua Trillion ngapi ya hasara tungepata sababu ya muswada ule??

Wewe una lipi umefanikisha tokea umezaliwa la kukumbukwa nchi hii? Empty set kabisa.
hakuna lolote zaidi ya kuhalibu ugali nyumbani kwa mamaake hapo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli anatia mashaka sana, kimfano anapohoji katiba inahusika vipi kuwepo kwa tozo! Au wakulima kutopewa ruzuku itayopunguza gharama za uzalishaji na kushusha bei ya nafaka. Tena anahoji magufuli aliweza kwa katiba ipi na sasa inashindikana kwann!

Na bado haoni katiba ndio tatizo kuu!
Nyie hamjalamba asali eeeh eeh
 
Back
Top Bottom