zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Hahaha pole sana najua inakuuma ila ndio hivyo hakuna wa kumzuia, unadhani Kuna mtu anayejitambua atampigia kura Samia wakati kafeli Kila kitu? hivi CCM mtawaambia Nini wananchi 2025 kwenye kampeni wakati Kila kitu mmefeli?Mimi kama mpiga kura nasema lissu hanifai. Hayo mafanikio umeyaona wewe. Being a leader goes beyond that. Tabia za wanawake wa uswahilini za kwenda kumchafua mtu hadi kwenye vyombo vya habari tena vya nje ya nchi. Tena mbaya zaidi mtu ambae ameshafariki. That was a no-go for me. Liende huko. Na nyie chawa wake mpepeeni maana ataiona joto ya jiwe kwenye kura. Haambulii kitu.
We unaangalia kuchafuliwa je unawaza kumiminiwa risasi ungecheka?? Huyo dikteta wenu amefariki na Lissu huyo anapeta, Mungu hapangiwi na wewe tulia hapa uone 2025 Lissu akiwashangaza.