Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Amelifanyia nini hili taifa labda mambo ambayo ameyafanya ni
Kuwasaidia Acacia kuishtaki Tanzania Acacia waliokuwa wanatuibia dhahabu zetu wanabeba hadi mchanga.Lissu alishupalia walipwe ndio wafukuzwe.
Kufurahia pale ndege za Tanzania ziliposhikiliwa na wazungu kisa madeni
Kuishtaki jamhuri ya Tanzania kwa ndugu zake wazungu. Lissu ni kati yatu wanafiki sana na ni wakala wa hao wazungu ndio maana anarudi wakati wa uchaguzi tu na hata familia yake ameihamishia ulaya baada ya uchaguzi anarudi kwao ulaya.
Kweli wewe ni mchanga katika nchi hii bila shaka. Lissu ni mmoja wa watanzania kupinga sheria na utaratibu mbaya wa sheria za madini. Lissu ndiye mtu wa kwanza kusimama kidete kuwatetea wananchi dhidi ya dhulma waliokua wanafamyiwa wananchi wa Nyamongo na mgodi waq North Mara bila malipo mpaka akafungwa na kupigwa ban asiende tena Nyamomgo. (Kasome :THE LOST GOLDEN OPPORTUNITY IN TANZANIA.
Lakini pia Lissu ndiye mtu wa kwanza kupinga kuuzwa kwa Rufiji Delta kwa mzungu mpaka hayati Mkapa akampeleka ndani kabisa, Ujui kua tunapo jenga JNHPP kua palikua pauzwe kabisa.
Mh.Lissu ndiye mtu wa kwanza kupigania haki za watanzania asa za uhuru wa kutoa maoni, kuchagua kiongozi nk haki ambazo zilikua zinapokwa na serikali nk.
Siku nyingine kua makini ukiwa unaongea vitu humu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Un

Unaongea ukiwa ubelegiji
 
Bila Katiba ni kutwanga maji kwenye kinu. Rais ndiyo kila kitu anachoamua yeye ndicho hicho hicho utake usitake. Tumeyashuhudia haya miaka 7 iliyopita.
Ni muda muafaka wa kubadilisha hii kitu, anayepinga ni mnufaika mkubwa wa mfumo uliopo (selfish).
 
Back
Top Bottom