Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Mnachezewa shere tu muingie kwenye 18, Tanzania hakuna upinzani kuna waropokaji tu
Yes hao hao waropokaji ndio wanafanya polisi wote wasilale, msajili atafute mbinu za kubana waropokaji hata na wewe upo makini kufatilia waropkaji.
 
Yes hao hao waropokaji ndio wanafanya polisi wote wasilale, msajili atafute mbinu za kubana waropokaji hata na wewe upo makini kufatilia waropkaji.
Nakazia ni waropokaji na wapayukaji tu, huku miaka inasonga.2025 mitano tena
 
Siro hajaitisha kikao na vyama vya siasa. Msajili ndiye aliyeitisha kikao hicho. ( siku nyingine andika vizuri ,uache kupindisha kama gwajiboy)
Bila kujali matokeo ya hicho kikao, nawashauri mhudhurie ili angalau mpate sababu za reactions zenu baadae.
Wewe ndo ulikuwa kwenye ile video ya Gwajima....😁😁😁😁
 
1631069810782.png
 
Back
Top Bottom