Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.

Weka mbali vitu vyenye ncha kali.
Siku ukiachwa usije kulia hapa.
Weka mbali vitu vyenye ncha kali.