Napendwa hadi nahisi dunia yote ni yangu!

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.
 
Hongera, kupendwa sana raha, ila akisafiri majangaje sasa?
 
Mwisho wa siku usije kujutia na kujua kumbe anakuectia tu.
 
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.
Ndugu kama una bastola mwombe jirani akutunzie maana unaweza kujimaliza au kummaliza mwenzio bila kutarajia.Kadri unavyopendwa sana ndivyo unavyoumia sana ukitendewa tofauti na matarajio.
Tusiwacheke wanaojimaliza.ikitokea unaishi vizuri na mwenzio mshukuru Mungu na usiache kumwombea.
 
Tunakuomba tu siku ya siku usije na thread mpya uanze kulia lia mara sijui unawachukia wanawake wote, sijui wanawake ni nyoka etc...

Plzz usije ukatusumbua humu hapo baade.
 
tambua siku ya kuumizwa utapata maumivu yenye kiwango sawa na raha unayopata sasa, ukipendwa/ukipenda sana utaumia sana pia mwisho wa safari
 
Tunakuomba tu siku ya siku usije na thread mpya uanze kulia lia mara sijui unawachukia wanawake wote, sijui wanawake ni nyoka etc...

Plzz usije ukatusumbua humu hapo baade.
Never hapen
 
Ndugu kama una bastola mwombe jirani akutunzie maana unaweza kujimaliza au kummaliza mwenzio bila kutarajia.Kadri unavyopendwa sana ndivyo unavyoumia sana ukitendewa tofauti na matarajio.
Tusiwacheke wanaojimaliza.ikitokea unaishi vizuri na mwenzio mshukuru Mungu na usiache kumwombea.

Ni kweli kabisa mkuu.... Kama una mahusiano yaliyo stable mshukuru Mungu....usiwakejeli wanaopata shida maana hata hao hawakuomba ila 'walibahatika'kama ww ulivyobahatika
 
Back
Top Bottom