Napendwa hadi nahisi dunia yote ni yangu!

Hayatuhusu ni mambo yako binafsi na umpendae sasa ukitutangazia tunapata faida gani. Andika vitu tukisoma tugain something. Sasa kwa huu uzi wako tunafaidika na nini. Pia ni ulimbukeni wa mapenzi.
 
Usiache kumwomba M ungu wako.
Yeye ndo anayejua yote siku za furaha yako
Hobgera kwa kupendwa na kujua unapendwa
 
Hayatuhusu ni mambo yako binafsi na umpendae sasa ukitutangazia tunapata faida gani. Andika vitu tukisoma tugain something. Sasa kwa huu uzi wako tunafaidika na nini. Pia ni ulimbukeni wa mapenzi.
Acha wivu, inaelekea umeachika mara kadhaa umekuja na hasira. Tulia utampata akupendaye, jichunguze tabia zako ujirekebishe.
 
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.

na akianza kuchepuka uje pia utuambie
 
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.

==> utakuja hapa UKILIA SIKU MOJA...kuliko Mbasha...ww chekea wanawake, hujawa mwanaume uliyekomaa...fuatilia historia ya wanawake tokea karne na karne...utalia ww
 
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.

Ndo utulie apo apo njia kuu..sio badae tena utuambie na ww hawara amekudatsha..Ole wako
 
Raha ya kupendwa umpate
akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na
my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi
na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.

siku pia maji yakikufika shingoni uwe muwazi hivi hivi.....
 
Raha ya kupendwa umpate akupendaye kwa dhati yaani upendo wa ndani kabisa kama ninavyopendwa na my wife. Nawaonea huruma sana wenye wenzi changamoto kila kukicha kesi na vipigo kama uwanja wa mapambano, poleni sana.
Heri yako, mshukuru sana Mungu.
 
Back
Top Bottom