Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,002
- 5,824
Mi nazani iundwe tume ya kuchunguza walipo benny sanane na azori gwanda
Ndo ujue ni mipangoMbona body wake hajafariki.
Duh!🤔🤔🤔🤔🤔🤔😆Yaani hata Mimi nigeonana naye magu usoso kwa uso tukiwa wawili tuu ningeli tandika kweri kweriii lile bichwa mpka libonyae bonyoo.
Huwaga Sina mchezo kabisa na Ibilisi.
😂😂😂😂😂😂unaambiwa na Baba Askofu Bagonza ni corona , unataka kuchunguza nini ?
vyeti fekiWaliomuua mwendakuzimu wanapaswa kupewa zawadi ya mabikira 7 kwa mpigo make walifanya kazi tukufu.
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa
Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind
Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Hii kitu sio kitu ya kawaida. Inahitajika uchunguzi tena wa wazi.
Ni corona tu, usipoteze muda wako, Corona haipendi dharau.Hii kitu sio kitu ya kawaida. Inahitajika uchunguzi tena wa wazi.
Majaliwa , Ndugai na SSH wao walikuwa wamechanjwa?Ni corona tu, usipoteze muda wako, Corona haipendi dharau.