RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,483
- 2,538
Una malengo km yng kbs inaonekana, km vp ntakuwa makamu wako Mr.presdent.. we should clean this country from all evils and sufferings it be by blood or peaceNatarajia kugombea kiti cha urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hapo baadae mungu akipenda,
Pamoja na majukumu mazito nitakayo kuwa nayo kubwa zaidi ni uchunguzi wa vifo vya harakaharaka vya hawa ma legends wawili,yaani Magufuli na Mkapa
Nitatumia vyombo vya ndani na vya kimataifa kubaini ukweli,mengi yamesemwa,nami kama binadamu ninalo langu moyoni nitapenda kujiridhisha.
Ni hayo tu,jioni njema kwa wote jukwaani