Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Mhhhh!!!! hahahahah lol! hii ndio nasikia kwa mara ya kwanza kwamba kuna makonzi ya mahaba....Dah! sijui ndio yanapigwaje hayo makonzi ya mahaba.

Hahahaha na makofi ya mahaba je huwahi kuskia? Uko dunia ya ngapi mwenzetu....wapigwa waskia rahaa lol hayaumi ati

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
makofi ya mahaba na makonzi ya mahaba ni vitu viwili tofauti banaaaa...bado nakuna kichwa kwenye makonzi ya mahaba, lakini makofi ya mahaba nayajua tena sanaaaa 🙂🙂

Hahahaha na makofi ya mahaba je huwahi kuskia? Uko dunia ya ngapi mwenzetu....wapigwa waskia rahaa lol hayaumi ati

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii safi sana n demu kapendeza ile mbaya, ila kuna wabunge fulani walinyoaga hivi haki ya nani toka siku ile nilivyowaona mpaka leo nina simanzi mwilini yaani sitaki hata kuwaona wala kuwasikia tena kwani walininyima hamu ya kupenda wanawake kwa jinsi walivyotisha na vipara vyao.

hahahaaa......... Sio kila anae nyoa kipara anapendeza wengine wanatisha atii, kuna wengine vichwa vyao vina milima na mabonde usiombe anyoe waweza sema ni vampire atii
 
Unafikiri Lady doctor....kwa kweli inabidi niwadai wale wabunge wanirudishie raha yangu ya kupenda kina Mama tena.
 
Last edited by a moderator:
Aaaah... Huyo kazidi bana, mie napenda style hii hapa na inanitokelezeajeeee .......

flaviana_matata.jpg
 
mimi nilikuwa na nywele ndefu sana sana tena nzuri, nimezinyoa mwez wa pili sasa, niko na kipara yaani stak nywele irefuke ifike ya kuchana.

najiona napendeza sana sura imekuwa nzuri kama ya mtoto, nikiweka na heren zangu kubwa na lipstick na wanja basi daah!!!!!!!!! napendeza sana

Kunyoa kuna raha yake hasa kwenye kuosha kichwa kila siku na unakuwa nadhifu sana sana hata uso hutulia na kuwa na mwonekano mzuri zaid.

NB usinyoe kama kichwa chako kina chogo ama unauso mpana
 
kuja pande za mama kamche japo nikutie machoni leo! Jiwe Linaloishi can we meet there na gfsonwin! i hav missed u guys!
 
Last edited by a moderator:
Aaaah... Huyo kazidi bana, mie napenda style hii hapa na inanitokelezeajeeee .......

flaviana_matata.jpg

mii zangu ziko ziko chini kidogoo ya hapa kiasi kwamba zimelala. napendeza sana na hizi ukizingata mwili nao umepungua kidogo basi nimekuwa kama mwanafunzi wa form3A.
 
salamu za upendo na haki zifikie deutsche vell radio, pande za germany! au bado tupo haiti?? cc snowhite, Fixed Point, mwaJ, Asprin na mumeo kipenzi Kaizer!
 
Last edited by a moderator:
Man huo ni ubaili unakimbia kuudumia saloon
 
Back
Top Bottom