Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Aaa wapi. Haendi mtu. Kubishana na maCCM ni bora ukajichukulie kimeo chako kona baa uponde raha.

Endelea na mamburura menzio huko. Mi ni alwatan wa MMU, stress free zone.
kama alwatan wa MMU kilicho kupeleka kule ni nini??
unahamu nikuchambee
nikikuchambaa utazimiaaa
unahamu nikusemee
nikikusema utaliaaa
source Joha Khassim
 
Hii safi sana n demu kapendeza ile mbaya, ila kuna wabunge fulani walinyoaga hivi haki ya nani toka siku ile nilivyowaona mpaka leo nina simanzi mwilini yaani sitaki hata kuwaona wala kuwasikia tena kwani walininyima hamu ya kupenda wanawake kwa jinsi walivyotisha na vipara vyao.

hahahahaaaa.........haya bana!

Mambo yako ni aje?
 
hahahahaaaa.........haya bana!

Mambo yako ni aje?



Dada Paloma mbona unanichimba mkwara, vipi una kipara cha wale wabunge nini? Halafu kwanini una matusi kihivyo? Eti mamboo yangu, ninayo mangapi mie jamani, mbona unanionea hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Dada Paloma mbona unanichimba mkwara, vipi una kipara cha wale wabunge nini? Halafu kwanini una matusi kihivyo? Eti mamboo yangu, ninayo mangapi mie jamani, mbona unanionea hivyo?


acha uchokozi basi!
kama unayo mawili si ndio vizuri utawagawia kwa usawa na wala hutahangaika na dayati za kuongeza nguvu!

sijawahi nyoa upara kichwani, ila nna tunywele tufupi kama nusu inchi! napendezaje sasa!
 
Back
Top Bottom